Wenye wapenzi mapacha wanaofanana mnawatofautishaje?

Wenye wapenzi mapacha wanaofanana mnawatofautishaje?

Sure! Hizo zote ni possibilities lkn yote ktk yote potelea mbali.........ilimradi cjui haina shida
We jamaa umenivunja mbavu sana asee...

Na wewe pia unajifanya hujui unagegeda wote wawili na wengine mtaani...

Dawa ya moto ni moto mkali zaidi
 
We jamaa umenivunja mbavu sana asee...

Na wewe pia unajifanya hujui unagegeda wote wawili na wengine mtaani...

Dawa ya moto ni moto mkali zaidi
"Na Wengine wa mtaani" hapana Kaka.........michepuko sio dili mkuu
 
Mwaka jana nilimtokea manzi flani hivi akanikubalia katika stori stori akaniambia wapo mapacha, Sikuchukulia siriaz nikihisi ananitania.

Siku nipo njiani namuona kasimama na mchizi barabarani nkamfuata kila nikimuongelesha ananiangalia tu hanijibu na mchizi nae ananitizama kama haelewi. Nikasepa ila nipo njiani nikatoa simu nikampigia huku nikianza kupanic kwamba kwann kanikaushia mbele ya jamaa na kujifanya hanijui.

Akanijibu kwamba yeye yupo mahala pengine ya yule niliekutana nae ni Kulwa dah nilikubali ila bado sijaamini.

Ila tabia kubwa waliyonayo hawa mapacha wakufanana ni kusaidiana kwenye misala hasa ya kimahusiano.
 
Usingekuwa mvumilivu ungeanzisha vurumai[emoji3]
 
Usingekuwa mvumilivu ungeanzisha vurumai[emoji3]

Dah mzee niliona mwamba alie simama nae katulia hatii neno manzi mwenyewe hasemi lolote sunajua mtu ambae hakusemeshi hata kulianzisha inakua ngumu kwahiyo nilisepa kinyonge sana sema baadae naambia hakua yeye sema kikubwa heshima tu kama ipo fresh.
 
Wapo mapacha Fulani mafundj simu,,ila mmoja mzinguaji sn,,walichukuwa simu yng kila nikifika mmoja anasema simu nilimpa mwenzie,,wamenizungusha kama mwezi hivi..nikaona ngoja kesi niimalize kibaharia,,
Nikifika nauliza simu yangu vipi?akisema yeye siye labda nilimpa Doto,,,hapo nampa makofi ya haja,,halafu nasema nitarudi,,,nikija tena nauliza simu yangu vipi?wanasema anayo kurwa,,Mimi natia makofi tu,,baada ya kuona manundu yanazidi ikabidi wafanye kunilipa..na niliwaambiya kwa sababu siwafahamu,,,kila nikikutana na mmoja ni makofi hadi siku niwakute wote wawili pamoja,,,..maana wamefanana sna,,hata wanawake wanagegeda pamoja bila kugundulika,,,,,tena kwa siku moja,,kitanda kimoja,,.
Hahaha umenikumbusha Mbali Sana mkuu Jon na Jose Mapacha wa Mhimbili walikuwa mafundi Sim
 
Identical twins wanafanana sana but not 100% the same.
Kuweza kuwatofautisha inabidi u-spend enough time with them.

Kwanza sauti huwa hazifanani. Kama ni mpenzi wako utagundua.
Pili kuna kutofautiana urefu(height).
Ni mara chache miili yao pia ikafanana. Kuna mmoja anaweza kuwa mnene zaidi au mwembamba zaidi. (Kumbuka inabidi utumie muda kujua tofauti zao).
Zipo njia nyingi zitakazokusaidia kuwatofautisha.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Wadogo zangu walionifuata me n identical twins (mens), yaan wamefanana kila kitu ila sauti kidogo zinapishana japo sio sana. Basi watu wengi wanashindwa kuwatofautisha. Ila waliowazoea wana watofautisha fresh tyuuh.
 
Shida ni pale unapo kutana na mmoja wao mie nilitongozaga mmoja daaah jibu Nika mkazania mwingine anipe ilikuwa kituko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yashawahi nikuta haya..
Kituko kweli kwelikweli
 
Ni hivo hivo mkuu mdogo mtundu sana mwenzie mpole
 
Back
Top Bottom