Dah umenikumbusha nilisoma na mapacha Chuo, walikua first year mda huo Mimi namaliza mwaka wa mwisho ajabu walikua wanatumia simu moja, nilimtongoza mmoja akanikubalia walikua hostel Mimi nilipanga nje ya Chuo. So Nilikua natuma tu text Z Njoo gheto anakuja Mimi ni kula tu japo Nilikua najua utofauti wao mmoja alikua na doti sikioni mwingine alikua hana, lakini ajabu Leo anaweza kuja huyu kesho mwingine nikajua hapa wananichezea mchezo nikajikausha yaani niliwafaidi wale watoto [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].....Siku moja nikawaambia si bora mje wote tulale kwangu wakajifanya wamezingua kwamba sina heshima Dah ila wanawake ni viumbe vya ajabu sana....