Wenye wapenzi mapacha wanaofanana mnawatofautishaje?

Wenye wapenzi mapacha wanaofanana mnawatofautishaje?

Wakiwa wadogo sana ni kazi kuwatofautisha.

Mimi nina twin, mama alituambia aliteseka kututofautisha sana ikabidi mmoja awekwe alama ya rangi kwenye kidole kikubwa cha mguu.
Hivo alitumia njia hiyo kututofautisha.
Kuwa na pacha raha kweli hasa identical.
 
Mimi Nina mdada nimefananae nae km identical twin,wazazi tofautiiii na mikoa ya origin ni tofautiii, huwa tunaenjoy sana kwa kufanana kwetu, tulikua tunawachanganya sana maafande kututofautisha MUJIBU WA SHERIA (JKT)...kwasababu ya vile vipara na nguo za kufanana ukizingatia yeye hakua na kifua kikubwa!

Kuna mapacha raha sana aiseh!!
 
Mngeulizana vizuri,maana dunia ina mengi,huenda mna uhusiano
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo uliamua kumaliza kibabe kweli
Mkuu,,,hawa pacha Wanazinguwa sana,,na ngumu kuwajuwa kama huwajuwi...wanawake wanagegeda siku moja,,,kinachofanyika wanabadilishana TAULO,,,akienda chooni anaingia Doto,,,akitoka kununuwa chips anarudi kurwa,,mradi fujo tu,,
 
Wakiwa wadogo sana ni kazi kuwatofautisha.

Mimi nina twin, mama alituambia aliteseka kututofautisha sana ikabidi mmoja awekwe alama ya rangi kwenye kidole kikubwa cha mguu.
Hivo alitumia njia hiyo kututofautisha.
Mi wangu mmoja anarangi ya kung'aa kumzidi mwenzie hila haraka haraka huwezii jua , , na mwingine na nywele nyingi kuzidi mwenzie
 
Identical twins wanafanana sana but not 100% the same.
Kuweza kuwatofautisha inabidi u-spend enough time with them.

Kwanza sauti huwa hazifanani. Kama ni mpenzi wako utagundua.
Pili kuna kutofautiana urefu(height).
Ni mara chache miili yao pia ikafanana. Kuna mmoja anaweza kuwa mnene zaidi au mwembamba zaidi. (Kumbuka inabidi utumie muda kujua tofauti zao).
Zipo njia nyingi zitakazokusaidia kuwatofautisha.

Hujawaona wadogo zangu wewe. Kwetu ni mama pekee anaejua kuwatofautisha!
 
Mi nimeoa pacha Doto nanwanafanana sn cjawahi kuweza kuwatofautisha.....

Kulwa bado hajaolewa....Hapo ni swala la Kulwa kujiongeza, lkn kulwa shemeji yangu mimi ananipenda km ilivo kwa mdogo wake Doto basi mara kibao yametukuta yasiyosemeka....
Kula tunda kimasihara.....
Muhenga katika ubora wako, sifa ya sime ni kuchinja kotekote
 
Wapo mapacha Fulani mafundj simu,,ila mmoja mzinguaji sn,,walichukuwa simu yng kila nikifika mmoja anasema simu nilimpa mwenzie,,wamenizungusha kama mwezi hivi..nikaona ngoja kesi niimalize kibaharia,,
Nikifika nauliza simu yangu vipi?akisema yeye siye labda nilimpa Doto,,,hapo nampa makofi ya haja,,halafu nasema nitarudi,,,nikija tena nauliza simu yangu vipi?wanasema anayo kurwa,,Mimi natia makofi tu,,baada ya kuona manundu yanazidi ikabidi wafanye kunilipa..na niliwaambiya kwa sababu siwafahamu,,,kila nikikutana na mmoja ni makofi hadi siku niwakute wote wawili pamoja,,,..maana wamefanana sna,,hata wanawake wanagegeda pamoja bila kugundulika,,,,,tena kwa siku moja,,kitanda kimoja,,.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
 
Back
Top Bottom