Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

Kibamia changu kuna alikua akikohoa kinachomoka, huwa napata shida sana kumfikisha mpaka nimchokonoe madole
 
SULUHISHO LA VIBAMIA;
Tafuta mzinga wa nyuki
kaingize dushe kwenye mzinga wa nyuki tatizo la kibamia litaisha
ANGALIZO; Nyuki wawili au watatu wakishakuuma kwenye dushe inatosha, maana wakikuuma wengi itakuwa oversize
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jmn mbavu zangu
 
SULUHISHO LA VIBAMIA;
Tafuta mzinga wa nyuki
kaingize dushe kwenye mzinga wa nyuki tatizo la kibamia litaisha
ANGALIZO; Nyuki wawili au watatu wakishakuuma kwenye dushe inatosha, maana wakikuuma wengi itakuwa oversize
Hahaaa. Hayo manundu ya nyuki si ni ya muda tu. Siyo ya kudumu.
 
Wakuu kama Title inavyojieleza,nimeanzisha uzi huu mahususi kwa wanaJF wenye Vibamia tukutane hapa tushauriane ni mambo gani ya kuzingatia kuondokana na tatizo hili.

Ni changamoto gani unapitia,na ni aibu gani ilikukuta kutokana na kibamia ulichonacho?
images-2-jpg.640836
Naanza mimi kueleza kwa kifupi:

Kuna binti fulani mtaani Ukonga nilikuwa na mwelewa sana aisee,na nilishatumia mbinu nyingi sana kumpata ila still ilishindikana.Sasa kuna siku binti alisikia kuwa nimefaulu kwenda chuo kikuu hivyo akaona muda ndio huu sasa tuanze kugawana hela za Mkopo,binti akaanza kunitafuta kuniulizia hadi nyumbani kwa mama na kwa bahati mbaya akanipata na ndio akaanza kufunguka kuwa alikuwa ananifikiria hivyo sasa yupo tayari kuwa na mimi maishani ila nisimchezee maana ananipenda kweli.Nikaona mungu huyu anipe nini tena Deadbody maana toto ndio hilo limejileta.

Tuliendelea na mapenzi yetu mpaka siku ya kunitunuku Tunda takatifu.Sitasahau siku ya tukio hili!

Nilifadhaika sana pale nilipotoa mashine kwa ajili ya kazi na gafla binti akasimama kwa mshangao na kuanza kucheka🙁🙁🙁🙁🙁

MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA HIVYO NIMEAMUA KUFUNGUKA KWA STYLE HII

Karibuni!
Baadhi ni vibamia kabla kudinda vikinda inakuwa mihogo kwa hiyo zipo zinazoonekana kubwa kabla ya kudinda zikidinda hazioongezeki sana na zipo zinazoonekana ndogo zikidinda zinaoongezeka saana zinakuwa sawa tuu na zile showers
 
Back
Top Bottom