Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

Wenye vibamia Special Thread:Wenye vibamia wote tukutane hapa

hebu acheni kujidhalilisha ushakuwa wanaume na wala sio watoto wa kiume tena
 
Asante mpenda bamia mwenzangu Hii mboga tamu mno kakiingia unahisi mtekenyo mishipa ni full kutoa maji [emoji85] [emoji85] akiimalizia sasa hahahahahah yeeee wallahi so sweet
Haswaaaaa..bamia zina kitu fulani amazing yani zina radha ambayo haipatikani kwenye mahogo ila mungu fundi jamani khaaa!mi kwangu bamia ni bora maana haiumizi wala kukera
 
Mi mwenyewe yananichanganya huo muda wa kupimana unatoka wapi wakati nawaza utamu tu

Mchagua jembe si mkulima
Umeona eehh!!

Ila unatakiwa uchague jembe jepesi ambalo hutoweza kuchoka ukianza majaruba
 
Back
Top Bottom