Emmanuel_Adam14
JF-Expert Member
- Dec 25, 2015
- 669
- 745
Nataka nifanye kuti cha simple na kizuri!!ukitaka mamo makubwa na ufahari shauri yako , ila kama no ufahari hiyo inakutoa mkuu
Mkuu mipango ya kujenga naielewa saana ila hapa kwenye harusi bado sina hata uzoefu!!Hili swali lako ni sawa na kuuliza kujenga nyumba milioni 10 zinatosha? ?
Inategemea unataka harusi ya namna gani? Katika mazingira? Watu wangapi? N.k harusi hata milioni 2 zinatosha.
Ahsante ila kwenye hili la saluni na nguo sidhani kama litanigharimu saana !!Kaa chini na wa ubavu wako mpange ni nguo,saluni,na mambo mengne yata waghalimu kiasi gani
Idadi ya wageni pande zote
Epuka mahitaji ambayo sio ya lazima mf.matarumbeta
Kiwango ulichonacho kinaweza kutosha au kisitoshe kutokana na mahitaji yenu
Jitahd kubana bajeti,kila la kheri
Mmmh ila kwelii!!Cha muhimu huwa kukabidhiwa mke au mume kihalali iwe kanisani, msikitini, bomani au kimila. Mengine mbwembwe na uwezo wako tu.
Hapa sijakuelewa mkuu !!Tafuta rafiki zako watano wekeni mipango ya harusi yenyewe, pia pitisha mchango kidogo ambao utawawezesha kufanyia baadhi ya mambo
Vinavyomaliza budget niMkuu mipango ya kujenga naielewa saana ila hapa kwenye harusi bado sina hata uzoefu!!
Mbwembwe za nn wakati ni za madafu hizi!!Yatosha kama huna mbwembwe nyingi
Ahsante broo meipenda hii!!Vinavyomaliza budget ni
*Matumizi yako na bibi harusi. Ongea naye mpate huduma za kawaida siku ya harusi kama saluni nk
*chakula na vinywaji. Alikaa watu wachache na kusiwepo na protocol nyingi kwenye vyakula na vinywaji
*ukumbi chukua wa kawaida na kwasababu watu watakuwa wachache basi utakuwa mdogo.
*mc anaweza kuwa ndugu yako. Matarumbeta misic, chukua ya bei nafuu
Isiyo na gharama kubwa mkuu!!Inategemea unataka harusi ya aina ipi.
Mmmh ila kwelii!!