Wenye nyumba wameanza makeke !

Wenye nyumba wameanza makeke !

Salaam wana jf,Mwaka 2015 iwe isiwe lazima na mimi nipate kibanda changu cha kujisitiri na familia yangu maana tusio na nyumba sometimes naona kama tunyanyasika!!Hivi juzi juzi jobmate mwenzangu alipoteza mke na mtoto katika ajali ya bus huko Musoma,na mmoja ya waliokuwepo kwenye msiba huo ni baba mwenye nyumba anapoishi.Jamaa alienda kumzika mkewe upareni na alirudi jana na leo amekuja job.Wakati tunaendelea kumpa pole za hapa na pale!! .Simu yake iliita na alikwenda kuongelea pembeni.Aliporudi alitueleza mzee mwenye nyumba anataka kodi yake siku ya tarehe 01 saa mbili sharp bila kukosa na awali alikuwa alikuwa analipa kwa miezi sita sita but mzee kamwambia kwa tarehe hiyo alipe ya mwaka na kama hataweza tarehe 2 January ahame!My take: sikatai jamaa kulipa kodi kwa kipindi hicho but ni vema wenye nyumba mkawa na busara ya kumvumilia kidogo mtu hata apumzike kidogo then ndo umweleze.Kufiwa na mke na mtoto mara moja si jambo dogo na pia kitendo cha kupandisha miezi ya kulipia bila taarifa ya miezi mitatu pia si ustaarabu.Tiririkeni waungwana.

Mwambie jamaa yako kama anaweza utata afanye hivi.

1. Asifanye fujo yeyote na ajaribu kumwambia mwenye nyumba wake amwandikie notisi ambayo itaonyesha kuwa anatakiwa kuhama hiyo nyumba ndani ya mwezi mmoja. Akishapewa hiyo notisi aitunze vizuri.

2. Pindi itakapofika hiyo siku ya notisi atoe japo hata pesa ya mwezi mmoja halafu amsihi huyo mzee aipokee na waandikishiane kuwa nyingine atamlipa kesho yake kwa kuwa kuna pesa anaitegemea.

3. Huyo mzee mwenye nyumba akikubali hicho nilichosema hapo juu. Jamaa hasijitese tena kuhusu suala la kodi bali aendee tu kuitafuta pasipo pressure maana mwenye nyumba akifanya jambo lolote la kipuuzi kama vile kutoa vyombo vya jamaa nje.

4. Huyo msela wako akimbilie mahakamani kufungua kesi akienda na vithibitisho vyote kama mkataba wa awali, notisi aliyopewa chini ya mwezi 1 na yale makubaliano ya mkataba mpya ambapo alitoa pesa ya mwezi mmoja na mzee akaichukua.

5. Kesi ikishafunguliwa mahakaman na stop order ikatolewa, mpaka hiyo kesi isikilizwe na mahakimu kutoa hukumu huyo msela wako anaweza kujikuta kakaa kwa huyo mzee hata miaka 5 bure bila kulipia kitu chochote.

6. Mahakama nyingi nchini zina kesi zinazohusiana na masuala hayo ndio maana shauri likifunguliwa leo mpaka kuja kutolewa maamuzi ya mwisho uchukua miaka mingi.

NINATUMAINI USHAURI WANGU UTAKUSAIDIA SANA KAMA UKIUFANYIA KAZI
 
Laiti watu wangekuwa na uwezo wa kuleta nyumba zao huko watokako,tungeheshimiana hapa mjini,hasa wachaga.
 
Hivi wenye nyumba wa mjini uwafanyie hivyo? Aise utapigwa vibao na vibwengo, utatekenywa na ukifanya masihara anakutumia popo bawa akubake....mbona utahama tuu...namshauri asijaribu kabisaaaa bora wayaongee tuu....
 
Serikali ifanye haraka kuleta sheria ya kuwatoza kodi wenye nyumba za kupangisha. Tra na mwigulu mpo?. Kakusanyeni kodi kwenye nymba hizo kwani kodi ya chumba ni sh.50000 hadi 60000/= kwa chumba cha hadhi ya chini.

kenya nasikia sheria ni kulipa si zaidi ya miezi mitatu mitatu,huyu tibaijuka angetaka kuzikonga nyoyo za watu gap ndo hili
 
Hivi wenye nyumba wa mjini uwafanyie hivyo? Aise utapigwa vibao na vibwengo, utatekenywa na ukifanya masihara anakutumia popo bawa akubake....mbona utahama tuu...namshauri asijaribu kabisaaaa bora wayaongee tuu....

Ndiyo maana nikasema kama jamaa anaweza utata afanye hivyo maana kwa ninavyoelewa sheria hata hapa nchini ilishapitishwa kuwa mtu hatakiwi kulipa kodi ya zaidi ya miezi 3 au 6 kama sikosei
 
Serikali ifanye haraka kuleta sheria ya kuwatoza kodi wenye nyumba za kupangisha. Tra na mwigulu mpo?. Kakusanyeni kodi kwenye nymba hizo kwani kodi ya chumba ni sh.50000 hadi 60000/= kwa chumba cha hadhi ya chini.
wazo zuri ila litawaumiza wapangaji.
 
Hakika...... mwenye nyumba kama hajawahi kuishi nyumba ya kupanga ni shidaaaa
 
Mie nilihama baada ya mwenye nyumba kuniongezea gharama toka 1.5M to 2.5 M Tshs nikaona ni bora nitafute nyumba ya gharama nafuu
 
umenikumbusha kuna rafik yangu waliambiwa na mwenye nyumba yao mbibi kuwa wasipige nyimbo za Rap/HipHop zinamaliza umeme sababu wanaimba fasta.Wapige RnB hazimalizi umeme.

Mwisho wa siku akaenda sehemu nyingine kufika uko baba mwenye nyumba anamlazimisha aoe ndio aendelee kuishi kwa nyumba yake jamaa akaona isiwe tabu akaama akaenda kukodi nyumba nzima akaachana na vyumba
 
Mwambie jamaa yako kama anaweza utata afanye hivi.

1. Asifanye fujo yeyote na ajaribu kumwambia mwenye nyumba wake amwandikie notisi ambayo itaonyesha kuwa anatakiwa kuhama hiyo nyumba ndani ya mwezi mmoja. Akishapewa hiyo notisi aitunze vizuri.

2. Pindi itakapofika hiyo siku ya notisi atoe japo hata pesa ya mwezi mmoja halafu amsihi huyo mzee aipokee na waandikishiane kuwa nyingine atamlipa kesho yake kwa kuwa kuna pesa anaitegemea.

3. Huyo mzee mwenye nyumba akikubali hicho nilichosema hapo juu. Jamaa hasijitese tena kuhusu suala la kodi bali aendee tu kuitafuta pasipo pressure maana mwenye nyumba akifanya jambo lolote la kipuuzi kama vile kutoa vyombo vya jamaa nje.

4. Huyo msela wako akimbilie mahakamani kufungua kesi akienda na vithibitisho vyote kama mkataba wa awali, notisi aliyopewa chini ya mwezi 1 na yale makubaliano ya mkataba mpya ambapo alitoa pesa ya mwezi mmoja na mzee akaichukua.

5. Kesi ikishafunguliwa mahakaman na stop order ikatolewa, mpaka hiyo kesi isikilizwe na mahakimu kutoa hukumu huyo msela wako anaweza kujikuta kakaa kwa huyo mzee hata miaka 5 bure bila kulipia kitu chochote.

6. Mahakama nyingi nchini zina kesi zinazohusiana na masuala hayo ndio maana shauri likifunguliwa leo mpaka kuja kutolewa maamuzi ya mwisho uchukua miaka mingi.

NINATUMAINI USHAURI WANGU UTAKUSAIDIA SANA KAMA UKIUFANYIA KAZI

Atakuwa mpangaji wa mahakama huyu...kwanza ataishi vpi na mibifu hvyo.
 
Kwa wewe na mie tunaweza tukashindwa kuishi nyumba hiyo kwa kuwa hatupendi mabifu ila kuna baadhi ya watu hapa nchini issue ya mabifu ndio sehemu ya maisha yao so jambo kama hilo kwao ni kawaida sana
 
salaam wana jf,

mwaka 2015 iwe isiwe lazima na mimi nipate kibanda changu cha kujisitiri na familia yangu maana tusio na nyumba sometimes naona kama tunyanyasika!!

Hivi juzi juzi jobmate mwenzangu alipoteza mke na mtoto katika ajali ya bus huko musoma,na mmoja ya waliokuwepo kwenye msiba huo ni baba mwenye nyumba anapoishi.

Jamaa alienda kumzika mkewe upareni na alirudi jana na leo amekuja job.wakati tunaendelea kumpa pole za hapa na pale!! .simu yake iliita na alikwenda kuongelea pembeni.aliporudi alitueleza mzee mwenye nyumba anataka kodi yake siku ya tarehe 01 saa mbili sharp bila kukosa na awali alikuwa alikuwa analipa kwa miezi sita sita but mzee kamwambia kwa tarehe hiyo alipe ya mwaka na kama hataweza tarehe 2 january ahame!

My take: Sikatai jamaa kulipa kodi kwa kipindi hicho but ni vema wenye nyumba mkawa na busara ya kumvumilia kidogo mtu hata apumzike kidogo then ndo umweleze.kufiwa na mke na mtoto mara moja si jambo dogo na pia kitendo cha kupandisha miezi ya kulipia bila taarifa ya miezi mitatu pia si ustaarabu.

Tiririkeni waungwana.

siku utakapokuwa unajenga kibanda chako ndo utajua maumivu utakavyowaona mafundi wanavyopasua mifuko ya simenti na kukata mabati. Tuliojenga tulijinyima starehe fulani fulani. By the way wapanganji wangu wa vyumba na mafremu wote leo nimewama memo ya kupandisha kodi with immediate effect from 01.01.15 . Kupokea kodi raha sana.
 
na je, ni haki mwenye nyumba kuongeza kodi ya sh. 10000 kila mwaka wakati hakuna kilichokarabatiwa kwenye chumba hicho kwa miaka minne iliyopita?. Na kama si haki, ni hatua gani zinastahili kuchukuliwa?. Usiniambie nihame.

tanzania sheria ya mwenye nyumba ni dhaufu sana. Na kulingana na maitaji wenye nyumba tunafanya tutakavyo. The bottom line ni kwamba kama haukubaliani ama.
 
Back
Top Bottom