Wenye Nyumba Dar ni Washirikina.

Wenye Nyumba Dar ni Washirikina.

Mleta mada piga ua zaragaza zika fukua mwenye nyumba all temper na kijambio chake ila hataki kuweka waz
 
Hii issue ni kweli ila Ni mitaaa ya katikati na hasa Kinondoni, Magomeni na mitaa ya ilala ndo kuna story za nyumba za hivyo hayo mambo huwezi sikia kimara/Goba/Tegeta huko yaani majengo mapya wlae wenye nyumba ambao vikongwe ni mchezo wao Mikumi ipo moja hiyo ni balaa.
 
Na wewe sa hivi ni mshirikina. Si una nyumba. Maana uliwahukumu wenye nyumba wa Dar kuwa washirikina ila nashangaa wewe unasema yako ni ya maombi. Umepanga nyumba ht kumi hazijafika lakini hitimisho lako ni kwa nyumba zote ispokuwa yako.
 
Nakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.
Ila katika nyumba ambalo nilipanga kama kinondoni mkwajuni ,studio ,Mbezi Africana,tango bovu n.k kila nyumba INA kituko chake na bahati mbaya wenye nyumba wanajua hivyo vitu kwa mfano kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza wapangaji wenzako na wao hivyo hivyo lakini huwezi kuona kuona mwenye nyumba kafanyiwa hivyo au analalamika .
Na zipo nyumba ukipanga hata meza haununui zipo nyingine mwenye nyumba akiona hakuwezi labda unasali sana atakwambia uhame.
Nilichogundua ndio wenye nyumba wengi akishajenga nyumba anaridhika anaemdelekeza ulozi
Source : mie mwenyewe

Sasa na wewe ni mwenyenyumba. Vipi ushakuwa mshirikina?

Tuvutie uzi juu ya
Saa ngapi mnavunjaga nazi?
Saa ngapi unakwendaga kujisaidia kitandani kwa wapangaji wako?

Labda uwe umejenga nje ya Dar.
Nasubiri..
 
Mimi mwenyenyumba napoishi,, chochote mtakachoongea usiku ukiamka asubuh anakijua, atawaambia majirani au atamuuliza ndugu yangu nnae ishi nae, kwahyo sikuhz hatuongeagi tena mambo ya maana kwenye hii nyumba, kuna ukweli flani kwa mtoa uzi, wenyenyumba asilimia kubwa ni walozi, ukiwa mchawi au unaomba sana wanaanzaga kukutafutia zengwe ili uhame. Yapo yanayosemwa na yanatutokea kila siku, cha msingi ni kujitahd kuomba na kujenga hata chumba na sebule uhamie kwako.
 
Hii issue ni kweli ila Ni mitaaa ya katikati na hasa Kinondoni, Magomeni na mitaa ya ilala ndo kuna story za nyumba za hivyo hayo mambo huwezi sikia kimara/Goba/Tegeta huko yaani majengo mapya wlae wenye nyumba ambao vikongwe ni mchezo wao Mikumi ipo moja hiyo ni balaa.
Kabisa ujue mtu anapinga hayajamkuta
 
Sasa na wewe ni mwenyenyumba. Vipi ushakuwa mshirikina?

Tuvutie uzi juu ya
Saa ngapi mnavunjaga nazi?
Saa ngapi unakwendaga kujisaidia kitandani kwa wapangaji wako?

Labda uwe umejenga nje ya Dar.
Nasubiri..
Kwanza sipo mjini nipo nje ya mji kidogo asilimia kubwa wenye nyumba huku ni vijana na kila mtu yupo busy na pilikapilika zake kingine usipende kupinga vitu ambavyo havijakukuta au na ww ndio michezo yako
 
Mimi mwenyenyumba napoishi,, chochote mtakachoongea usiku ukiamka asubuh anakijua, atawaambia majirani au atamuuliza ndugu yangu nnae ishi nae, kwahyo sikuhz hatuongeagi tena mambo ya maana kwenye hii nyumba, kuna ukweli flani kwa mtoa uzi, wenyenyumba asilimia kubwa ni walozi, ukiwa mchawi au unaomba sana wanaanzaga kukutafutia zengwe ili uhame. Yapo yanayosemwa na yanatutokea kila siku, cha msingi ni kujitahd kuomba na kujenga hata chumba na sebule uhamie kwako.
Kaka umenena point sana nyumba ya mwisho mie kuhama ilikuwa ukiingia tu kulala unasikia juu ya bati kuna mtu anafagia ukimwambia mwenye nyumba anasema yeye hajawahi kusikia nilikazana kufunga na kuomba kidogo ikawa nafuu ila nilichoambulia ni kuhamishwa nikasema isiwe kesi nikahamia kwangu bahati nzuri nilikuwa namalizia malizia
 
Mi uchawi halijawah kunikuta...mweny nyumba kushirikiana na vibaka..unaondoka asubuh ukirud unakuta ndan wameiba alaf hawakutoboa dirisha wamepitia mlangoni na mweny nyumba yupo...nahis wanae ndo weny tabia hiyo
 
Wengi wao wakishanje wanabweteka wanaanza kuishi kiujanja ujanja tu amatokeo yake ndio kama hivyo wanaanza kuhujumu wapangaji ili uhame apangishe mwengine
 
Back
Top Bottom