real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
i believe in reasonKaka ww unaamini katika nini
i believe in reasonKaka ww unaamini katika nini
Yawezekana hizi ni swaga zake za kuutafuta usingizi!huyo mganga aliyekuambia hivyo ni tapeli, mi ni mpangaji mwenye nyumba tatu hapa hapa Dar. na sina chale wala hirizi
Achana na ushirikina utakupotezea muda
Nimependa hapo kwenye red mkuu.huyo mganga aliyekuambia hivyo ni tapeli, mi ni mpangaji mwenye nyumba tatu hapa hapa Dar. na sina chale wala hirizi Achana na ushirikina utakupotezea muda
Sio Dar tu. Mbona Mbarak Mwishehe alishawahi kuimba - sasa nimehamia mtaa wa saba, ...hiyo nyumba sio nyumba ilikuwa na mikosi.Nakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.
Ila katika nyumba ambalo nilipanga kama kinondoni mkwajuni ,studio ,Mbezi Africana,tango bovu n.k kila nyumba INA kituko chake na bahati mbaya wenye nyumba wanajua hivyo vitu kwa mfano kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza wapangaji wenzako na wao hivyo hivyo lakini huwezi kuona kuona mwenye nyumba kafanyiwa hivyo au analalamika .
Na zipo nyumba ukipanga hata meza haununui zipo nyingine mwenye nyumba akiona hakuwezi labda unasali sana atakwambia uhame.
Nilichogundua ndio wenye nyumba wengi akishajenga nyumba anaridhika anaemdelekeza ulozi
Source : mie mwenyewe
Mkuu unasoma thread kwa kuruka ruka baadhi ya maneno?!Jenga yako kuepukana Na huo uchawi
Kakurupuka huyoMkuu unasoma thread kwa kuruka ruka baadhi ya maneno?!
hahahaaa!!
Mbona mleta uzi ameshasema kua alishajenga nyumba yake.
Kuna nyumba zenye baraka na maendeleo yapo ila asilimia kubwa ni zimejaaa ushirikina na mikosi kwangu ni nyumba yenye barakauna uhakika nikija kupanga kwako utonifanyia mambo ya kishirikina maana mwenyewe nishachoka hayo mambo
We we linaonekana bado unagombania nyumba ya urithi huna unachokijua katika nyumba za kupangaWewe una elements za kishirikina ndo maana inakutokea.
Kwangu ni nyumba ya maombi hakuna kupapaswaKwako pia wanapapaswa.....????
Usipende kukurupukaJenga yako kuepukana Na huo uchawi
Kweli akili ni nywele kila mtu Ana zake
Sijakurupuka, inawahusu wale wanaolalamika huku huo uchawi Na hawajajengaUsipende kukurupuka
hheheeee...JF bana..never boringKwaiyo sasahivi na wewe ni mchawi???