Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 348
Nakuja na Uzi nikiwa na uhakika nimeshapanga nyumba mbali mbali hapa dar kabla ya kuwa na kujenga yangu.
Ila katika nyumba ambalo nilipanga kama kinondoni mkwajuni ,studio ,Mbezi Africana,tango bovu n.k kila nyumba INA kituko chake na bahati mbaya wenye nyumba wanajua hivyo vitu kwa mfano kuna nyumba niliwahi kukaa mitaa ya kinondoni niliondoka asubuhi kwenda job nikafunga kurudi jiona nikakuta mavi kitandani.
Nyingine ilikuwa kila siku siku ukirudi unatakuta wenye nyumba unatakuta wamevunja Nazi getini zipo ambazo nilikuwa ukilala usiku unapapaswa papaswa mtu humuoni au unaamka umechanjwa chale za mgongoni ukiuliza wapangaji wenzako na wao hivyo hivyo lakini huwezi kuona kuona mwenye nyumba kafanyiwa hivyo au analalamika .
Na zipo nyumba ukipanga hata meza haununui zipo nyingine mwenye nyumba akiona hakuwezi labda unasali sana atakwambia uhame.
Nilichogundua ndio wenye nyumba wengi akishajenga nyumba anaridhika anaemdelekeza ulozi
Source : mie mwenyewe