Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

kuna watu huwa wanayafanya maisha kuwa magumu bila sababu..
mie nimeseviwa tigopesa hata hainipi tabu naona kawaida tu.
 
Habari za keekend wapendwa...


Leo jumapili nakwenda kuimaliza vibaya. Nikiwa nitulia hapa nyumbani mke wangu ameomba simu yangu ili ampigie mtu maana simu yake ilikuwa haina credit, nikampa...mi nikaingia chumbani kupumzika, amekuja chumbani amefura, akauliza namba yake nimeisevu kwa jina gani? Mi nikamjibu kuwa nimesevu kwa jina la "Madam" Hapo ndio kivumbi kikaanza, kwa nini unasevu hivo? Mbona hujasevu mrs?...akaendelea," ina maana una mtu mwingine ndio mkeo? Huyo ndie ulie msevu mrs? Akaendelea tangu leo mi sio mkeo , na ndg zako waondoke hapa kwangu ...."



Mi muda huo nilikuwa nimepigwa butwaa, namsikiliza, baadae nikamwambia kusevu jina hilo ni kukupa heshima, nikamwambia ile simu nyingine nimesevu kwa jina la 'mrs' wala sina maana mbaya.


Kwa kweli baadae akasema hata simu yake haina thamani maana ni ya hela ndogo (akimaanisha simthamini maana nimemnunulia simu ya bei ndogo), na kwa maana nyingine akimaanisha yupo mwanamke ninaye mthamini na ndie huenda nimemsevu kwa jina la 'mrs'..akasema mambo mengi sana, lakini mi nikiangalia sijamkosea jambo kubwa kiasi cha maneno anayoyasema. Imefikia mahali nikaivunja simu yake.


Eti wanajanvi, ni kosa mkeo kumsevu kwa jina la 'madam'..


Nipeni mchango wenu tafadhari, maàna bado mgogoro upo na kwa sasa ameondoka sjui amekwenda wapi. Ila katika kufoka kwake nimemsikia akisema hii kesi anaipelwka kwa mchungaji, nadhani ameenda huko kupeleka kesi


Nipeni ushauri tu ili niona namna ya kumaliza tatizo hili..

Hapo kwenye blue na red kuna utata, mkeo amesema kuwa kuanzia muda wewe na yeye basi halafu akakuambia ndugu zako waondoke kwake, je unaishi kwa mwanamke na ndugu zako? Je ndugu zako wakiondoka bila ya wewe kuondoka mtakuwa mmeachana vipi? Kama amesema kwanzia muda huo mmeachana kwa mchungaji ameenda kufanya nini?

Between the lines hii ni story ya kutunga ili kupoteza muda tu au ikiwa ni ya kweli basi mkeo hamnazo na wewe pia.
 
Cha msingi jiamini tuu, kama hana ushahidi kwamba unakamchepuko...

Mkeo inaonesha anautashi mdogo wa kuwaza na kufikiria, pia kutafsiri mambo....


Upendo halisi haupimwi na thamani ya kitu bali ni moyo wa mtu kukupa kitu husika...

Mtafute mkeo mueleze kwa upole tuu, ataelewa...

Kuanzia leo msevu vizur mkeo...unaeza msevu "sweetheart" honey" my darlin....

Msevu vizuri ili ajisikie vizuri...usipende kumwekea mazingira akakuwazia tofaut

Umeshauri ushauri mzuri sana mkuu.....Popote pale ulipo heshima yako Tafadhali.
 
Bro nina umri mkubwa, ninaheshimika pia nyumban na ofisini, sina haja ya kukaa na kuanza gossiping. Nina ndg yangu mmoja tu hapa kwangu, ila nina ndg pia wa upande wake, mi ndie ninayejua maana yake. Kama utapata muda uck nitakuwa natumia pc nitaktafta pm

Hapo kwenye blue na red kuna utata, mkeo amesema kuwa kuanzia muda wewe na yeye basi halafu akakuambia ndugu zako waondoke kwake, je unaishi kwa mwanamke na ndugu zako? Je ndugu zako wakiondoka bila ya wewe kuondoka mtakuwa mmeachana vipi? Kama amesema kwanzia muda huo mmeachana kwa mchungaji ameenda kufanya nini?

Between the lines hii ni story ya kutunga ili kupoteza muda tu au ikiwa ni ya kweli basi mkeo hamnazo na wewe pia.
 
nina wasiwasi na uwezo wake wakufukiria maana hata kama kwake si sawa kusaviwa hivo bado si ishuu ya kuifanya kesi kubwa sasa akienda kwa mchungaji ndio iweje...mchungaji mwenyewe ana ya kwake...wanawake muwe na kiasi kwenye kupanic.....anyway mkae msolve ila asizidishe limit kama we unamjibu vizuri unajaribu kumuelewesha nia yako...sio kesi ya kuenda wa mchungaji mkeo atafakari kwa makini
 
Hapo kwenye blue na red kuna utata, mkeo amesema kuwa kuanzia muda wewe na yeye basi halafu akakuambia ndugu zako waondoke kwake, je unaishi kwa mwanamke na ndugu zako? Je ndugu zako wakiondoka bila ya wewe kuondoka mtakuwa mmeachana vipi? Kama amesema kwanzia muda huo mmeachana kwa mchungaji ameenda kufanya nini?

Between the lines hii ni story ya kutunga ili kupoteza muda tu au ikiwa ni ya kweli basi mkeo hamnazo na wewe pia.

You are really an intelligent,washauri wengi wameona kosa kwenye kuseviwa madam,hayo matamshi hawakuyaona. Na kuna thread humu huyu bwana alishalalamika kuhusu ukorofi wa mkewe,hilo la 'madam' ni muendelelezo wa muvi zao.
 
Wewe na yeye ndio mnajua mapenzi yenu yapo deep kiasi gani. Of course little things matter- Usipomwambia mwanamke hujapendeza kama amependeza matters, usipokumbuka birthday matters, usiposema asante kwa chakula pia it matters. So wewe ndio wajua zaidi nature ya ndoa yenu . Kwa waliozoea maisha ya kawaida "non romantic" hata usevu jina lake wala haina soo. Mapenzi na ndoa ni kama utoto ila lazima uweze kureason kidogo . Cha muhimu msisitize asiwe anakurupuka na kuuliza kwa hasira , mkiwa kwenye cool mood ongeeni kwa upendo na kila mtu awe yatari kujishusha .

Pili: It smells there is more to "Madam" na wewe ndio wajua . SO be the man and take the lead kurekebisha. Kumbuka kwenye ndoa hamna jambo dogo na pia usipuuzie vitu vidogo , kama anakereka ongea nae ujue logic ya kukereka , kama kero haina msingi mweleze ila usipuuze -kupuuzia puuizia vitu vinaleta sononeko na maumivu kwa mwenzi wako . Na utaona yameisha ila kwake atakuchukulia kama mtu mwenye dharau usiyejali hisia zake.
 
Kinyau." umeongea mambo ya msingi sana... inaonekana una experiance nzuri katka mambo ya mahusiano... binafsi nimeupenda ushauri wako big up mkuu.
 
Una uhakika hakukuta msg au jina la mwanamek mwengine umesave mpenzi, honey, swthrt, n.k.???? Kama hakukua na msg basi mke wako anadeka sana, au anauelewa mdogo (samahani kwa kutumia hili neno), Chakufanya muombe msamaha na pia weka jina zuri kwenye simu na hata unapomuita tumia hayo majina mazuri, muonyeshe umebadilika, hata kwa huyo mchungaji anakokwenda atacheka huyo mchungaji mpaka, nikichekesho cha mwaka na ni kesi ya kitoto mno...Ila sisi wanawake ni wapuuzi utakuta hao wanasaviwa majina yao honey, wife, darling hao waume zao ni wahuni wana madraling 10, mababy 5 na mawife kama yeye 3....lakini kisa kwenye simu kasaviwa "wife' aona kapatia...MAPENZI NI VITENDO NA SI MANENO MUELEWESHE MKEO.
 
Habari za keekend wapendwa.

Leo Jumapili nakwenda kuimaliza vibaya. Nikiwa nitulia hapa nyumbani mke wangu ameomba simu yangu ili ampigie mtu maana simu yake ilikuwa haina credit, nikampa mi nikaingia chumbani kupumzika, amekuja chumbani amefura, akauliza namba yake nimeisevu kwa jina gani?

Mi nikamjibu kuwa nimesevu kwa jina la "Madam" Hapo ndio kivumbi kikaanza, kwanini unasevu hivo? Mbona hujasevu mrs?Akaendelea," ina maana una mtu mwingine ndio mkeo? Huyo ndie ulie msevu mrs? Akaendelea tangu leo mi sio mkeo, na ndg zako waondoke hapa kwangu...."

Mi muda huo nilikuwa nimepigwa butwaa, namsikiliza, baadae nikamwambia kusevu jina hilo ni kukupa heshima, nikamwambia ile simu nyingine nimesevu kwa jina la 'mrs' wala sina maana mbaya.

Kwa kweli baadae akasema hata simu yake haina thamani maana ni ya hela ndogo (akimaanisha simthamini maana nimemnunulia simu ya bei ndogo), na kwa maana nyingine akimaanisha yupo mwanamke ninaye mthamini na ndie huenda nimemsevu kwa jina la 'mrs' akasema mambo mengi sana, lakini mi nikiangalia sijamkosea jambo kubwa kiasi cha maneno anayoyasema. Imefikia mahali nikaivunja simu yake.

Eti wanajanvi, ni kosa mkeo kumsevu kwa jina la 'madam' Nipeni mchango wenu tafadhari, maàna bado mgogoro upo na kwa sasa ameondoka sjui amekwenda wapi. Ila katika kufoka kwake nimemsikia akisema hii kesi anaipelwka kwa mchungaji, nadhani ameenda huko kupeleka kesi.

Nipeni ushauri tu ili niona namna ya kumaliza tatizo hili.

madam shida yoyote kwa upande wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom