Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

Madam ni mwanamke unayemheshimu ila humpendi.
Yaani BossLady,
Ina maana humpendi mke wako?
Kimbia ukamwangalie madam wako kwa mchungaji.
 
Last edited by a moderator:
Women! Women! Women!
Mentor bado nipo nipo kwanza....sipendi ugomvi..sipendi kupeana presha!!!
 
Last edited by a moderator:
Sina ugonvi naye kwa mda mrefu,sielewi anavoniwaa

basi mu-ignore tu kwa sasa!..muache yeye ayaseme yake yote ya moyoni.,akitulia ongea wewe sasa kama mwanaume!
Wengine wake zetu twawaita kwa majina yao tu,zaidi twaongeza 'Bi'..hayo ya honey,sweetheart sijui waachieni watoto wa shule,sheikh!
 
House of Commons

Wala hujakosea mkubwa. Kiusalama sio vizuri kumsevu mkeo wife, honey, mrs. Hizi simu za mkononi zina mengi, inaweza kupotea ikawa balaa. Kusevu baba, mama, haishauriwi. Mweleweshe tu, unaweza poteza simu ikaokotwa na wakora wakaona mrs wakamwita sehemu kitakachotokea huko utajuta kusevu mrs. Nina mifano hai mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hata mi nimesihi asiibue mgogoro usio na maana, lakini amekomaa tu, ameondoka nasubiri nini kitaendelea akirudi


Huyo mkeo anaendekeza mambo madogo na ya kitoto.
Kusave jina lake au Mrs haimaanishi anakuwa kweli ila ni title za kijinga sometimes.
As long as umemfahamu alivyo msave anavyotaka yeye.
Mke wangu nimemsave kwa initials za majina yake na hana time na mambo kama hayo.
 
duh! pole mkuu. ila 2lia mwache apande akishuka ndo uongee nae kwa hekima hadi aone amekocea. na nyie wanawake achen tabia yakufokea waume/wapenz wenu.ulizen mambo kwa upole.ndo maana michepuko haiishi
 
Ubarikiwe sana, nimechukua ushauri wako


basi mu-ignore tu kwa sasa!..muache yeye ayaseme yake yote ya moyoni.,akitulia ongea wewe sasa kama mwanaume!
Wengine wake zetu twawaita kwa majina yao tu,zaidi twaongeza 'Bi'..hayo ya honey,sweetheart sijui waachieni watoto wa shule,sheikh!
 
Mkubwa mwambie mkeo kumuoa tu inatosha kuonesha unampenda, jina ni nini? Aache mambo ya kishule shule amekuwa mtu mzima
 
Ifute kabisa isiwepo kwenye cm. Maana binafsi sioni sababu ya kusave namba ambayo unayo kichwani zaidi ya kujaza phone book tu. Na akikuuliza tena why hujasave namba yake mwambie najua kwa kichwa.

Labda tu nikuulize kwa upande wako hili neno linamaanisha nini?? Ila kwa jamii nyingi ni neno la heshma likitangulia kabla ya title ya mtu mfano madam justice,madam speaker n.k ila kwa wengine hutumia pia kumuita mwanamke usiemfahamu mfano'' hallow madam can i help u??'' hasa kny costomer care,ila pia kuna baadhi ya sehemu hutumika kn mistress a.k.a nyumba ndogo,lakini kwa Tz mostly limetumika sana kwa walimu wa kike kabla hata ya kuwabatiza Rita na Wema ,nadhani kwa walimu lilimaanisha heshima usikute kwa mke limemaanisha vingine,jaribu kumpa tafsiri yako nzr ataelewa.
 
Fanya fasta kaombe msamaha kwa juhudi zote, mengine baadae ila we kaombe msamaha kwanza kwa gharama yoyote ile, make sure anarudi kawaida.
 
Kabla ya kwenda mbali ningependa kukuuliza maswali 2. Kwa nini uvunje simu yake? Kwa nini umsev madam?. Majibu utakayopata ni sehemu kubwa ya tatizo katika ndoa yenu. Tukiachana na hayo niseme kitu kimoja, kitu kinachoonekana kidogo maisha ya kila siku basi katika mapenzi huonekana kikubwa. Leo ukimpigia sim rafiki yako asipopokea haitakuuma sana. Lakini asipopokea mpenzi wako unaweza usilale kwa mawazo. Kwa hiyo hivyo vitu unavyoviona vya kawaida vina impact kubwa sana. Leo kumsev mpenzi wako madam unaona kawaida lakin hujui jinsi gani imemuuma.kutomnunulia mpenzi wako simu wakati anajua uwezo huo unao, lazima itamuuma. Atahisi humpendi. Tujitahidi kutengeneza kumbukumbu nzuri kwa wapenzi wetu.
 
Duh!! Mimi gf wangu alipekua simu yangu akakuta nimeandika jina lake na eneo analoishi, yaani kwa mfano Evelyn Salt kamanga ferry". Huo ugomvi wake balaa
 
Last edited by a moderator:
Cha msingi jiamini tuu, kama hana ushahidi kwamba unakamchepuko...

Mkeo inaonesha anautashi mdogo wa kuwaza na kufikiria, pia kutafsiri mambo....


Upendo halisi haupimwi na thamani ya kitu bali ni moyo wa mtu kukupa kitu husika...

Mtafute mkeo mueleze kwa upole tuu, ataelewa...

Kuanzia leo msevu vizur mkeo...unaeza msevu "sweetheart" honey" my darlin....

Msevu vizuri ili ajisikie vizuri...usipende kumwekea mazingira akakuwazia tofaut


Mmmh... unafahamu kuwa mke singuo lakini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom