Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

Wenye ndoa piteni hapa kwa ushauri

Mwambie asi-complicate mambo na kufanya maisha kuwa magumu bila sababu......

Kama ukiamua kuchepuka umsave mrs, madame, darling nk nk au kwa jina lake bado utachepuka tu

Ila hapo kwenye simu nzuri usipomthamini mkeo kwa vitu vizuri unataka kumthamini nani??? Ni aibu iwapo unatumia s6 wakati mkeo yupo kwenye kisimu cha tochi... (au humpi mkeo vitu vizuri ndio maana anahisi anaibiwa????)

Anyway....kufanya maisha kuwa rahisi...mtake radhi kisha msave mrs ili roho yake itulie
 
Sina ugonvi naye kwa mda mrefu,sielewi anavoniwaa

Japo jina lina ukakasi kidogo, lakini sioni ni kwa vipi imeweza kumpandisha hasira hadi kufikia ugomvi wa kiwango hicho. Ninachokiona ana mashaka na mienendo yako tangu mda mrefu na hii ni sababu tu ya kutoa kile kilichoujaza moyo wake. Kaa chini tafakari safari ya maisha yenu. Ugomvi mkubwa mpaka wa kupelekana kwa mchungaji hauwezi kuletwa na jina "Madam". Kuna sababu iliyobackground. Ichunguze
 
Mrs and wife inakaa sawa lakini hilo la madam na mama fulani nooooo.
 
Ni makosa makubwa.hebu angalia kwenye kamusi ya kiingereza maana ya madam!omba msamaha.
 
Ushauri mzuri, mara kadhaa ukimpa zawadi anagawa, nishashindwa hili

Mwambie asi-complicate mambo na kufanya maisha kuwa magumu bila sababu......

Kama ukiamua kuchepuka umsave mrs, madame, darling nk nk au kwa jina lake bado utachepuka tu

Ila hapo kwenye simu nzuri usipomthamini mkeo kwa vitu vizuri unataka kumthamini nani??? Ni aibu iwapo unatumia s6 wakati mkeo yupo kwenye kisimu cha tochi... (au humpi mkeo vitu vizuri ndio maana anahisi anaibiwa????)

Anyway....kufanya maisha kuwa rahisi...mtake radhi kisha msave mrs ili roho yake itulie
 
Je unampa zawadi anayoipenda?????

Kama unaona anagawa...ukizichanga nenda nae dukani mwambie achague simu aitakayo.

Au shopping angalia maduka anayopenda kwenda nenda nae mwambie achague nguo au kitu akipendacho...

Hapo akigawa atakuwa na tatizo. Otherwise unaweza mpa zawadi ambayo sio taste yake .....wengine hawana uso wa aibu hivyo anaigawa tu

Ushauri mzuri, mara kadhaa ukimpa zawadi anagawa, nishashindwa hili
 
Huyo mkeo anaendekeza mambo madogo na ya kitoto.
Kusave jina lake au Mrs haimaanishi anakuwa kweli ila ni title za kijinga sometimes.
As long as umemfahamu alivyo msave anavyotaka yeye.
Mke wangu nimemsave kwa initials za majina yake na hana time na mambo kama hayo.
 
Hahahahhaa kaka watoe tu ndugu zako hapo maana ushaharibu

Kwa maana madam hapa tanzania ni rita na wema tu hahah
 
Teknolojia imeleta changamoto mpya za ndoa ambazo pengine wazee wetu huko nyuma hawakuwa nazo.
Next time usimsavu kabisa. Akikuuliza mwambie namba yako nimeisave kichwani sioni haja ya kuisave kwenye simu!hahhahaaaaaaa hapo naona atapasuka kabisa
 
House of Commons

Kwani inakuuma nini ukimsave wife, honey, swrt? Ukinijibu nitakupa ushauri mzuri
 
Last edited by a moderator:
Na yeye akiku save "sir" utajiskiaje?? By the way huwa unamwita kwa hilo jina madam?? Madam njoo... Madam niwekee maji ya kuoga..... wanawake ni watu sensitive sana ati!
 
Madam, mwanamke anayemiliki mume ambaye siyo wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom