crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,951
Weka data zako wote tuone. I am sure una hard copies. Vinginevyo kutegemea vya kusikia wakati una akili zako jiandae kuwa kibonde wa wanasiasa(Nimeondoa neno jamvi linatafsiri mbaya).anzia hapa lowasa alishinda urais 2015 au hakushinda? MAGUFULI alitangazwa mshindi ila kwa kura aliachwa mbali sana sana sana na lowasa. waulize kina January'