Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

SisiWasukuma tumeyang'oa mapori na misitu minene,mibuyu tumeilaza kasoro ile ya kufanyia mikutano ya usiku ndio kaje ha ka CCM tutakafyeka kama nyasi.
"Katakutana na lubhubhu lwa mbiti"
 
Tumuondoe kwanza Mbowe...aliyepewa uenyekiti na mkwe wake.
miaka zaidi ya 20 akiwa yeye tu.
ruzuku ya chama anapiga tu na washirika wake.
chama tangu 1992 wamepanga pamoja na luzuku kubwa ya mwezi.
kukosa intergrity kama kiongozi refer kuzaa na mbunge wa viti maalumu nk

No Mbowe ,No CHADEMA
 
Shika USA, UK, France, Israel and Canada waambie hamtaki CCM. Nakuhakikishia ndani ya miezi miwili CCM itakuwa imepotea na kwenda kuijenga Congo DR
 
Kuwaendea kwa babu na kuwachapa JUJU viongozi wote wa CCM, kiazai hicho kiangamie na kupotea katika ramani ya dunia. Aliekuwemo na asiekuwemo wachanganywe CCM wote.

Wengine watolewe busha, Wengine wafungwe midomo wasiweze kuongea, wengine wafungwe haja kubwa na ndogo, wengine watokewe majipu kwenye amber rutty zao wasiweze kukaa. Ili wajue raia sasa wamewachoka!!!
Kwa hilo ni Ngumu sana kwani CCM wana utitiri wa waganga wa kienyeji wasio na idadi mpaka sasa Bashite na mtukufu pekee wana waganga zaidi ya 100 toka mataifa mbalimbali Duniani, achilia mbali CCM wengine ambao nao wana utitiri wa ndumba za kila Aina ujue CCM ndiyo Chama kichawi kuliko vyote Duniani kina hiziri za kila Aina, Dawa ya CCM ni kufurumushwa na majeshi ya NATO au uchaguzi usimamiwe na waangalizi wa kimataifa wasiozidi milion wasambae kila kona nchini.
 
October 29 2015 Lowasa na Duni walienda Tume ya uchaguzi kupinga kuendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi, lakini Lubuva akaendelea kutangaza tena kwa kujiamini kabisa. Baadae akamtangaza mshindi na ccm wakafanya sherehe kubwa, zikafuata chaguzi ndogo ndogo na tulishuhudia yaliokuwa yanatokea. Baadae hapo likafuata jinamizi la sheria kadhaa za kiajabu ajabu kuanzia sheria za vyombo vya habari na nyenginezo pamoja na kuhama kwa baadhi ya wabunge na watu maarufu ambao ni wazi wameshapewa mtonyo ni nini kinaandaliwa, Dudu la kutisha zaidi, Zombie la kuogofya sana linaandaliwa na mwaka ujao 2019 tutalishuhudia likiibuka. Tusijidanganye hakuna uchaguzi mwakwa 2020 na kama utakuwepo wapinzani hawawezi kupata hata wabunge 5 achilia mbali uraisi. Viashiria vipo na wala haihitaji nuclear scientist kudadavua. itafutwe njia nyengine sio kupitia vyama katika kuleta mabadiliko Tz. Take my word.
Hili suala la uchaguzi wa serikali za Mitaa kufanyika mwezi April badala ya October.sio mbinu ya CCM kujifanyia tathmini ya kina sana
 
Kwanza tume huru ya uchaguzi, pili mtaji wa wanachama unahitajika kwa upande wenu,
Kwa sasa hata kama kuna tume huru, CCM anashinda maana ana mtaji wa wanachama, wekezeni kwa wananchi huko vijijini na muwape elimu ya kutosha
 
Shika USA, UK, France, Israel and Canada waambie hamtaki CCM. Nakuhakikishia ndani ya miezi miwili CCM itakuwa imepotea na kwenda kuijenga Congo DR

Fanya mipango mshawishi Naibu Rais Bashite akamchochee mtukufu awafukuze mabalozi wa Nchi hizo ili wapate kuwasha moto , vp CCM iking’oka mji mkuu utaendelea kuwa Dodoma? au watarejea Dsm au mji mkuu utakuwa kwingineko nchini?
 
Kwanza tume huru ya uchaguzi, pili mtaji wa wanachama unahitajika kwa upande wenu,
Kwa sasa hata kama kuna tume huru, CCM anashinda maana ana mtaji wa wanachama, wekezeni kwa wananchi huko vijijini na muwape elimu ya kutosha
Umechoandika ni sahihi .Chadema ni dhaifu sana maeneo karibu yote ya vijijini.Wakiendelea na umjini mjini,wasizingishie kuibiwa kura
 
Njia zipo nyingi, 1. wawe na mabalozi mtaa hadi mtaa across the whole nation.
2. Trusted party agent. Mawakala wengi wa upinzani wanahongwa na madiwani, p1 na wabunge wa CCM. Nimeshuhudia sehemu nyingi tu.
3. Wasimamizi wasiingie mapema kabla ya wakala wa vyama.
4. Wapiganie kuwepo na kamera ndani(ila isionyeshe kwenye polling booth. iwekwe ikiwatazama high table. na kusiwe na mtu yeyote jirani na sealed polling box.
5. Wakati wa kuhesabu kula kamera iwekwe zoomed enough to sight.
Kuwepo na shahidi asiefungamana na nec, gvt,party,and candidates. Atasaidia to solve any disputes.

6. Wasimamizi na mawakala wote wakaguliwe mbele ya watu kabla ya kuingia, na raia wawili wakakague polling room kabla ya zoezi la upigaji.
7. Etc.
 
SisiWasukuma tumeyang'oa mapori na misitu minene,mibuyu tumeilaza kasoro ile ya kufanyia mikutano ya usiku ndio kaje ha ka CCM tutakafyeka kama nyasi.
"Katakutana na lubhubhu lwa mbiti"
Gamboshi bado ipo? au siku hizi Gamboshi hakuna wachawi wa kutosha?
 
Mimi kama Shabiki wa Kutupwa wa UPINZANI HUKO NCHINI TANZANIA.

Napendekeza mambo Yafuatayo:

Mosi,Vyama Vyote Vya Upinzani Vikiongozwa na Chadema waunde Kitu Inaitwa "UNITED DEMOCRATIC FRONT" halafu Waingie 2020 wakiwa na Mgombea Mmoja Tu Tanzania Bara na Visiwani.

Pili,Ni lazima Wananchi wote Wanapoenda Kupiga Kura 2020 Shime Shime Wawe na Silaha Mkononi e.g Panga ,BisiBisi au VISU.

Tatu,Katika Utangazaji wa Matokeo ya Kura za UBUNGE na UDIWANI inatakiwa Wakurugenzi wanapoleta upumbafh inatakiwa Kiwake Hapo Hapo Ambapo Inatakiwa Wananchi wawapige BisiBisi Za Shingo, hii Ikitokea Kwenye Vituo Kadhaa basi Wakurugenzi Nchi Nzima Watatia Akili Na Kuacha Huu Upuuzi.

Nne,2020 Wakati Matokeo ya Urais Yanatangazwa Na NEC ya Akina KIHAMIA(Ambayo Tunategemea Yatakuwa Matokeo ya Kupikwa) Mgombea Urais wa UNITED DEMOCRATIC FRONT anatakiwa Aitishe Maandamano ya Nchi Nzima na Kuingia Barabarani Kupinga Upuuzi wa NEC.

Tano,Napendekeza Wagombea wote wa Upinzani Kuanzia URAIS mpaka Udiwani Wawe na PERSONAL TALLYING CENTRES hii itawasaidia Kujitangazia Matokeo yao ya Hali Halisi Ili kusub-merge Yale ya NEC-CCM.

NB:Mbinu ya Sita na Ya Saba Ni Chungu sana kwa CCM na Nitaziweka Bayana Kadri Muda Unavyojongea hivyi Tujadili kwanza Hizo hapo Juu.
 
Mnataka waweke mbinu ili muzijue. Safari hii ni kimya kimya tu..
Ata wasiposhinda ila joto mtalihisi. 😁😁
 
Fanya mipango mshawishi Naibu Rais Bashite akamchochee mtukufu awafukuze mabalozi wa Nchi hizo ili wapate kuwasha moto , vp CCM iking’oka mji mkuu utaendelea kuwa Dodoma? au watarejea Dsm au mji mkuu utakuwa kwingineko nchini?
Waking'olewa na western countries lazima ubakie kuwa Dar es salaam
 
kama ukikata shina la mti na mti bado ukaendelea kuota basi suluhisho ni kuing'oa mizizi na kuitupilia mbali/kuichoma moto
 
Back
Top Bottom