Natafuta mganga kiboko wa kuiondoa CCM madarakani

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Wakuu nahitaji mganga konki anayeweza kuiondoa ccm madarakani

Tumeshindwa kuandamana

Tumeshindwa kuwasusia vigogo wa ccm na biashara zao

Tumeshindwa kwenye sanduku la kura la kupiga kura za kuwatoa CCM.

Basi kwa hili mganga nadhani hatuwezi shindwa!!Nahitaji mganga konki wa kuitoa CCM madarakani.
 
Waganga wote waweza hizo kazi wako CCM ndio huloga vyama vya upinzani visishinde Wala kufanikiwa agenda zao Ajira CCM inawatosha

Huwezi wapata
 
Wakuu nahitaji mganga konki anayeweza kuiondoa ccm madarakani

Tumeshindwa kuandamana

Tumeshindwa kuwasusia vigogo wa ccm na biashara zao

Tumeshindwa kwenye sanduku la kura la kupiga kura za kuwatoa CCM.

Basi kwa hili mganga nadhani hatuwezi shindwa!!Nahitaji mganga konki wa kuitoa CCM madarakani.
waganga na walozi wote wako ccm, hao wa kuiloga watatoka wapi? Rejea pale wanapopiga mkwara kwa mpinzani yeyote anapojaribu kumpinga mgombea wao. Kuna wale wa gamboshi na wale wa kizimkazi ongeza na wa mlingotini. Wachawi wenyewe wanajiita sakosi kubwa. Wako wengi mikoa yote
 
Wakishatoka ataoongoza nani?
Maana hao wapinzani wako dhoofu hali.
Hoja ya kipuuzi kabisa hii. Na sijajua ni kwa nini mara nyingi mnapenda kuipa kipaumbele, na kuirudia rudia. Kwani kabla ya hao CCM wana kipi cha ajabu mpaka wengine washindwe?

Kama hiyo CCM imetawala nchi na baba yake TANU tokea uhuru, na bado maendeleo yenyewe ni ya kuunga unga! Kuna mtu au chama kitashindwa kuongoza kwenye hii nchi kweli?
 
Kosa kubwa (grave mistake) walilofanya viongozi wa upinzani,ni pale walipokubali kushiriki ule uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi,ili hali walikuwa wanajua fika kwamba tume iliyopo ya uchaguzi(NEC) ni tume ambayo imetokana na serikali ya CCM,hapo ndipo walipokosea kucheza kete iliyo muhimu katika historia ya siasa za Tanzania.
Walikuwa na uwezo wa kukataa, hata jumuiya za kimataifa zingekuwa nyuma yao,lakini sijajua kwanini walikimbilia kushiriki ule uchaguzi wa kwanza,ilikuwa ni tamaa ya ruzuku? au kulikuwa na kitu kingine kilichowasukuma kuingia kichwa kichwa? mimi sina majibu yake,nabaki kushangaa.
 
Wakuu nahitaji mganga konki anayeweza kuiondoa ccm madarakani

Tumeshindwa kuandamana

Tumeshindwa kuwasusia vigogo wa ccm na biashara zao

Tumeshindwa kwenye sanduku la kura la kupiga kura za kuwatoa CCM.

Basi kwa hili mganga nadhani hatuwezi shindwa!!Nahitaji mganga konki wa kuitoa CCM madarakani.
NENDA MSOGA 😆😆
 
Inabidi Hamas waje bongo, wakae wiki tu, tuwaambie, CCM ni binamu Yao Israel, watayachapa, yakimbie yakitoka mishuzi kila kona
 
Back
Top Bottom