Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

anzia hapa lowasa alishinda urais 2015 au hakushinda? MAGUFULI alitangazwa mshindi ila kwa kura aliachwa mbali sana sana sana na lowasa. waulize kina January'
Weka data zako wote tuone. I am sure una hard copies. Vinginevyo kutegemea vya kusikia wakati una akili zako jiandae kuwa kibonde wa wanasiasa(Nimeondoa neno jamvi linatafsiri mbaya).
 
#Membe_For_Presidency_2020 hii itafaa.
DUh acha kutemea watu mate machoni!
IMG-20181106-WA0010.jpg
 
Kila mara CHADEMA inalaumiwa kwa ajabu kabisa na watu wa CCM kwamba haina mawazo wala mbinu mpya zitakazowasaidia kuitoa CCM madarakani mwaka 2020. Inawezekana kabisa kwamba hii hoja ina ukweli fulani ndani mwake, lakini inapotolewa na wana CCM inatia shaka.

Shaka kwani kwa kila hali CCM inaonekana kuondoka kwake madarakani itakuwa ni kwa mbinde na si kwa hiyari ya chama hicho. Sasa CCM inapokuja na ushauri wa kuwa na mbinu bora za kuitoa madarakani inashangaza sana.

Lakini pia kuna wana - CHADEMA kwa nia njema kabisa wanaona na kuamini kuwa chama chao kinatoka nje ya mkondo wa kuiondoa CCM madarakani. Kundi hili likichagizwa na wanazuoni na watu wengine makini wapenda mabadiliko, lina hoja nyingi sana za msingi.

Lakini si wana CCM wala hawa wana CHADEMA wanaoona mbinu za kuiondoa CCM madarakani zinakosewa wanalo Jukwaa ndani ya vikao vya maamuzi vya CHADEMA. Kwa mantiki hiyo basi wale wanaoona kuna mbinu mbadala zaidi ya hizo zinazotumiwa na Viongozi wa CHADEMA kuiondoa CCM madarakani, basi waziweke hapa ili na wengine tuone ni kwa nini wanawalaumu viongozi wa CHADEMA kuishiwa mbinu za kuitoa CCM madarakani.
Issue sio kuiondoa ccm!

Issue ni maendeleo ya nchi.
Issue sio bunge live, bali mnaotaka ikulu, mbona bado hamjakaa ki ikulu?

Hivi hayo magwanda tafsiri yake nini?

Hivi ukamanda wenu ni jeshi gani, maana hayo majeshi tayari yapo?

Sera rasmi za chademani zipi?

Wanazuoni unaowasema ni wapi, zaidi ya mnaowatukana?

Au fyatuma k?

Alamsiki
tapatalk_1546618366899.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ipigwe kura ya maoni kama vyama vingi viendelee au vifutiliwe mbali. Vikiendelea basi wananchi waanzishe vyama siyo mtu mmoja mmoja........ Hata Simba MO kapewa hisa 49% badala ya 51% alizozililia ili aimiliki klabu. Ufipa hoyeee!
Kura ya maoni ya nini? Vyama vya upinzani vina wanachama wengi kiasi cha kuonyesha wananchi hawataki mambo ya chama kimoja!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom