Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,235
33,825
Kila mara CHADEMA inalaumiwa kwa ajabu kabisa na watu wa CCM kwamba haina mawazo wala mbinu mpya zitakazowasaidia kuitoa CCM madarakani mwaka 2020. Inawezekana kabisa kwamba hii hoja ina ukweli fulani ndani mwake, lakini inapotolewa na wana CCM inatia shaka.

Shaka kwani kwa kila hali CCM inaonekana kuondoka kwake madarakani itakuwa ni kwa mbinde na si kwa hiyari ya chama hicho. Sasa CCM inapokuja na ushauri wa kuwa na mbinu bora za kuitoa madarakani inashangaza sana.

Lakini pia kuna wana - CHADEMA kwa nia njema kabisa wanaona na kuamini kuwa chama chao kinatoka nje ya mkondo wa kuiondoa CCM madarakani. Kundi hili likichagizwa na wanazuoni na watu wengine makini wapenda mabadiliko, lina hoja nyingi sana za msingi.

Lakini si wana CCM wala hawa wana CHADEMA wanaoona mbinu za kuiondoa CCM madarakani zinakosewa wanalo Jukwaa ndani ya vikao vya maamuzi vya CHADEMA. Kwa mantiki hiyo basi wale wanaoona kuna mbinu mbadala zaidi ya hizo zinazotumiwa na Viongozi wa CHADEMA kuiondoa CCM madarakani, basi waziweke hapa ili na wengine tuone ni kwa nini wanawalaumu viongozi wa CHADEMA kuishiwa mbinu za kuitoa CCM madarakani.
 
Ipigwe kura ya maoni kama vyama vingi viendelee au vifutiliwe mbali. Vikiendelea basi wananchi waanzishe vyama siyo mtu mmoja mmoja........ Hata Simba MO kapewa hisa 49% badala ya 51% alizozililia ili aimiliki klabu. Ufipa hoyeee!
 
hivi mbona huwa hatujiulizi ile hamasa ya vijana kushona lile vazi maarufu la CDM, wazee wanawake na watoto kununua tisheti za M4C, nk ilipotelea wapi?
Chadema ya akina Dr. Slaa sio hii.....lazima mjitathimini kabla hatujatafuta mbinu za kuiondoa CCm
 
Kila mara CHADEMA inalaumiwa kwa ajabu kabisa na watu wa CCM kwamba haina mawazo wala mbinu mpya zitakazowasaidia kuitoa CCM madarakani mwaka 2020. Inawezekana kabisa kwamba hii hoja ina ukweli fulani ndani mwake, lakini inapotolewa na wana CCM inatia shaka.

Shaka kwani kwa kila hali CCM inaonekana kuondoka kwake madarakani itakuwa ni kwa mbinde na si kwa hiyari ya chama hicho. Sasa CCM inapokuja na ushauri wa kuwa na mbinu bora za kuitoa madarakani inashangaza sana.

Lakini pia kuna wana - CHADEMA kwa nia njema kabisa wanaona na kuamini kuwa chama chao kinatoka nje ya mkondo wa kuiondoa CCM madarakani. Kundi hili likichagizwa na wanazuoni na watu wengine makini wapenda mabadiliko, lina hoja nyingi sana za msingi.

Lakini si wana CCM wala hawa wana CHADEMA wanaoona mbinu za kuiondoa CCM madarakani zinakosewa wanalo Jukwaa ndani ya vikao vya maamuzi vya CHADEMA. Kwa mantiki hiyo basi wale wanaoona kuna mbinu mbadala zaidi ya hizo zinazotumiwa na Viongozi wa CHADEMA kuiondoa CCM madarakani, basi waziweke hapa ili na wengine tuone ni kwa nini wanawalaumu viongozi wa CHADEMA kuishiwa mbinu za kuitoa CCM madarakani.
CHINI US TUME HII YA UCHAGUZI,CCM ITADUMU.LABDA TUME IKAE PEMBENI IKODIWE KAMPUNI TOKA NJE ISAMAMIE UCHAGUZI NA KUTANGAZA MATOKEO.

LA PILI WATENDAJI WA SERIKARI WENYE DHAMANA NA UCHAGUZI WAJITAMBUE KWA KUTANGULIZA UTAIFA MBELE KULIKO MASLAHI YA CHAMA TAWALA.

WANAJESHI WA MAJESHI YOTE HASA POLISI WAFANYE DETACHMENT NA CHAMA TAWALA, WASIJIFUNGAMANISHE.
 
hivi mbona huwa hatujiulizi ile hamasa ya vijana kushona lile vazi maarufu la CDM, wazee wanawake na watoto kununua tisheti za M4C, nk ilipotelea wapi?
Walikuwa wanavaaa kwenye mikutano mbali mbali ya CHADEMA ya ndani na hadhara. Sasa yote kwa woga wa CCM imezuiwa!!

NIlishangaa sana nilipoona eti Polisi wanamzuia Meya wa Ubungo kukagua miradi inayosimamiwa na Halmashauri yake inayoongozwa na CHADEMA. CCM imejawa woga sana kwenye zama hizi.
 
Back
Top Bottom