Wenye hela zao wanakula bata

Wenye hela zao wanakula bata

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
254963_179892052149996_984832197_n.jpg
 
Huyu anakula mbuni sio bata.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
umenikumbusha yule bonge wa SANI enzi zile
 
Haki ya nani!! Hilo tumbo kile kitarimbo si kiko hoi? Ni lazima kitakuwa kibamia tu!! Ukikohoa tabu!! Ha ha ha!! Siwezi kujiachia na afya mbaya kiasi hicho!! Junk foods at work!
 
naskia watu wenye matumbo na miili kama hii hata "biology" zao huwa ni ndogo sana
 
hana lolote ARVs zimemkubali

teh..teh teh.Kwa hiyo siku hizi hivyo vitambi na vitumboo na makali makubwa ya wadada ni ARV?Sikujua...maana naona watu ghafla kitambi na wadada hao mahips duuuuu.Haya bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom