Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
mm mwenyew kna jamaa zangu wawili wana 7 one, n wa PCB walomba udomb MD walkosa 1st batch,ila 2nd walpata
NA wengne wana 9wamekosa ad 2nd
