Petabyte186
Member
- Jul 10, 2017
- 91
- 36
Mm pia nimepata UDOM (telecom Engineer) nikapata na MUST (Computer Engineer)
usijar tupo pamoja aisehasante ndg angu
DegreeMm pia nimepata UDOM (telecom Engineer) nikapata na MUST (Computer Engineer)
Mkuu kuambatanisha link kunqzingua kidogo sio mzoefu aisehunaweza nitumia link yao
udahili umefungwaKhabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
bado mpaka tar 22udahili umefungwa
Udahili unaendelea kwa wale walio register accnt awal na hawakufanikiwabado mpaka tar 22
ndio sio kwa waombaji wa mara ya kwanzaUdahili unaendelea kwa wale walio register accnt awal na hawakufanikiwa
hata one za 7 wapo baadhi wameachwaCapacity ya course unaijua?? Na wengi walioomba hapo MD hawawezi kupata MUHAS ndio maana waliona kimbilio lao kuu ni hapo...
Mpaka UDOM kakosa hanabahatiMm mdogo wang ana Two ya 12 amekosa Udom nursing bro
Cha msng cuttng point...then na coz unayoomba e.g engineerng zinahtaj princpl ya phys na maths means D...so PCM D.E.D anaend means point 13 even D.S.D...point 14Tatzo siyo Div, tatizo ni uchaguzi mkuu na sifa stahiki. Usikate tamaa japo ujasema umesoma combination gan ila nakusihi chagua coz zczojulikana san ila uwe na vgezo
Cut off point hazifk kwa nursingMm mdogo wang ana Two ya 12 amekosa Udom nursing bro
Asante kwa ushuhuda,Udsm kunajamaa yangu ana3ya13 kaenda