Wenye Division III wamepata chuo?

ulichoandika ni.................. ipp kabisa
Yani unatetea huku unaponda
Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
 
Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
hujakosea, ila ulichoandika ni kama unawaponda watu wa udom kwa kusema udsm wanabebwa na jina au ukongwe wa chuo.
Soma tena post yako utanielewa vizuri.
 
hujakosea, ila ulichoandika ni kama unawaponda watu wa udom kwa kusema udsm wanabebwa na jina au ukongwe wa chuo.
Soma tena post yako utanielewa vizuri.
Mkuu nilisema chuo kikubwa kama udsm au udom,so please emu angalia vizuri ile post,siwezi kukizarau udom kamwe kwani najua kinaukubwa gani kitaifa,na unapotaja one of the best university in Tanzania uwezi kiacha kwa sasa,na pia ni miongoni mwa vyuo vinavyokua kwa kasi ukanda wa Africa mashariki.
 
Vyema, ila katu usitegemee chuo kitakuja kukubeba
 
Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Unaongea na mtoto mdogo mkuu, unapoteza muda wako kutoa mfano. Hao ndio vijana hawajui wanaenda chuo kufanya nini. Akitoka huko basi atazulula mitaa yote ya kwao akitangaza chuo anachosoma, bila kusahau kuzulula kwa kila ndugu kumwambia chuo anachosoma.
 
nashukuru kwa mawazo yenu
ila naomba kama kuna mtu anawwza kuniwekea ghalama za udom kuanzia bwen had ada
 
Back
Top Bottom