sanahimogita
Member
- Oct 8, 2017
- 94
- 71
Hicho chuo mnakisema vibaya mtandaoni lkn mm kila nikifatilia nakuta ndio the best growing University in East and Central Africa.UDOM wamezoa balaa... yaan ingekuwa ni amri yao wangechukua hata div IV
Na kinatajwa sana na mataifa mengine.
Nikiangalia top five best young Universities (below 15 years) in East and Central Africa naikuta UDOM
Nikiangalia
Large Universities in East and central Africa naikuta UDOM (the first,)
Nikiangalia top five ya Tanzania naikuta UDOM,
Nikiangalia admission nakuta UDOM inaongoza kwa highest enrollment,
Baadhi ya fani kama za education,
UDOM inatajwa kua na best product in East Africa ktk shahada za ualimu.
Top 5 za ualimu East Africa, Tz tuna chuo kimoja tu nacho ni UDOM.
Kiukweli siwez nkataja yote,
Lkn kubwa linalonishangaza ni kua; wakati UDOM ikionekana kuwatisha baadhi ya watu hata wakaichukia, still imekamilika kwa 40% pekee,
Kiukweli natamani nipate hoja kuntu juu ya kejeli zinazotolewa na baadhi ya watu juu ya UDOM, ni criticism zipi wanazozitoa na kwa hoja zipi?
Ningepata jibu la hili perhaps ningeelewa zaidi: Naomba kuelimishwa

