Wenye Division III wamepata chuo?

Wenye Division III wamepata chuo?

Kwa walikosa:
Ombeni vyuo visivyo na ushindani e.g muslim university,stela maris
 
Kama umefikisha point 4 omba chuo achana na mambo ya dividion mda huu.
 
Sasa division III wasipopata chuo, hivyo vyuo si vitabaki vitupu?? Ishu uwe na angalau D mbili, na chuo utapata. Ila usijichanganye kwenye vyuo na kozi ambazo watu wanazishobokea wale wakuja!!!!!
 
Nilekebishe kidogo mkuu kama nimekosea sehem,huwa napenda kujifunza zaidi na huwa sipendezwi na mtu anaejivuna kwa kitu alichajaaliwa na mwenyezi MUNGU,
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Three ya ngapi sasa coz inategemeana na cutting point za mtu mfano 13 three anaingia chuo chochote bila tatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom