Wenye Division III wamepata chuo?

Mkuu chuki kama hii Kama ingekuwa mimba, ungezaa Adolf Hitler..!
Umesema kweli Mkuu,

Alaf Mara nyingi ukifatilia wanaoponda UDOM ni wanafunz wa UDSM, vyuo vingine ni Mara chache sana.
Hii hua inanishawishi kuamini kua hicho chuo kinakuja juu sana ndio maana waliokua bora enz hizo wanaumia na kuchukia kuona kuna wengine wako vzr na wanakua vzr zaid yao

Alafu ukisoma comments zao zote hua hawatoi hoja zaid ya matus, na wakitoa hoja ni hoja za kusadikika/kubuni na zisizo na uthibitisho

Apo huyo bwana nimemwambia huyo bwana anipe hoja aliyonayo kuthibitisha ubovu wa UDOM,
Subiri uone atakachoandika.
 
Hafuatilii taarifa za habari, hizo faculty zote zimefutwa huko UDOM
e2589df7bd80a940adae8757dbf243b2.jpg
 
Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Udom ni one ya 7 boi na muhimbili n one ya 6.huyu kafeli
 
Umesema kweli Mkuu,

Alaf Mara nyingi ukifatilia wanaoponda UDOM ni wanafunz wa UDSM, vyuo vingine ni Mara chache sana.
Hii hua inanishawishi kuamini kua hicho chuo kinakuja juu sana ndio maana waliokua bora enz hizo wanaumia na kuchukia kuona kuna wengine wako vzr na wanakua vzr zaid yao

Alafu ukisoma comments zao zote hua hawatoi hoja zaid ya matus, na wakitoa hoja ni hoja za kusadikika/kubuni na zisizo na uthibitisho

Apo huyo bwana nimemwambia huyo bwana anipe hoja aliyonayo kuthibitisha ubovu wa UDOM,
Subiri uone atakachoandika.
Mi mwanafunzi mtarajiwa wa udsm lakn huwa sikubaliani kabisa na wale wanaokiponda chuo cha udom,naamini ubora wa chuo ni products zake,so kama chuo kinatoa products nzuri hakuna ubaya apo,sema wengi wamekalili kwamba udsm tu ndo wanatoa products nzuri,naamini kuna baazi ya watu wanatoka vyuo vingine na wapo vizuri kuliko hata wa udsm,but japo sometimes vyuo bora vitabaki kuwa bora bcoz huwezi fananisha chuo kama udsm au udom na chuo kama Stella maris ata mnapoenda kwenye soko la ajira mana mdamwingine jina na ukubwa wa chuo humbeba mtu.
 
Unaongea usilo lijua mkuu...kuna binti alipata division one ya point 9 aliomba udom MD,pharmacy, nursing kozi zote amekosa....first & second batch sasa unavosema ivo nakua sikuelewi....lakini mungu kamsaidia amepata st.john
Amepata pharmacy hapo st john
 
Mi mwanafunzi mtarajiwa wa udsm lakn huwa sikubaliani kabisa na wale wanaokiponda chuo cha udom,naamini ubora wa chuo ni products zake,so kama chuo kinatoa products nzuri hakuna ubaya apo,sema wengi wamekalili kwamba udsm tu ndo wanatoa products nzuri,naamini kuna baazi ya watu wanatoka vyuo vingine na wapo vizuri kuliko hata wa udsm,but japo sometimes vyuo bora vitabaki kuwa bora bcoz huwezi fananisha chuo kama udsm au udom na chuo kama Stella maris ata mnapoenda kwenye soko la ajira mana mdamwingine jina na ukubwa wa chuo humbeba mtu.
ulichoandika ni.................. ipp kabisa
Yani unatetea huku unaponda
 
Back
Top Bottom