yungsteval
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 309
- 109
Niko Mwanza hapa huyu jamaa kafunga barabara as if Obama ndo amekuja Mwanza, yuko viwanja vya Mbugani sasa watu wamefurika hatari.
Najua wapo walio Mwanza wataleta picha na nini alikizungumza coz mimi nilikuwa napita tu na mishe zangu.
Najua wapo walio Mwanza wataleta picha na nini alikizungumza coz mimi nilikuwa napita tu na mishe zangu.