Wengine wameshindwa kulipwa kwa kutojua kudai

Wengine wameshindwa kulipwa kwa kutojua kudai

Kuna watu wengine wameshindwa kulipwa kimakusudi kabisa sababu utaratibu wa kudai umekuwa wakukera mno!mfano mtu anakupigia usiku kukumbusha deni lake na wewe bila hiyana unamwambia kesho yake utamlipa na inapofika hiyo kesho anakupigia Simu saa kumi na moja alfajiri kukudai tena!watu wa nanma hii huwa silipi kabisa bora tugawane na polisi[emoji2] Asubuhi na mapema Sana sio mida ya kudai wakuu wengine wameamka na hasira za mwendo kasi
Kama ni haki yake atadai atakavyo na utalipa! Shenzi kabisa wewe! Ndio maana siku hizi sikopeshi mtu pesa nisiyokuwa tayari kusamehe..
 
Kwakweli mtu anakuja sura ya huruma unamkopesha kifuatacho sasa utajuta kujifanya mwema.....
Yani ni kusikiliza shida zake na kumsaidia kusikitika tu yatosha, ukiguswa sana mtoe buku teh
Wakati wa kukopa mtu anakua mpole sana ila ukianza kudai mtu anageuka simba. Wanasema ukitaka ukosane na watu wa karibu we wakopeshe tu
 
Hakuna aliyewahi kunidhulumu akabaki salama.
Kuna mmoja kanidhulumu milioni kama nne.. Sasa yu mahututi kitandani.. Mungu baba keshafanya kazi yake na sidhani huyu ndugu kama atapona.
Kuna Muhindi mwingine karudishwa kwao baada ya kunyang'anywa kiwanda baada ya kunidhulumu milioni karibu tano hivi.
The list goes on and on.
Kufanya biadhara kwa kuaminiana bila maandishi kuna risks nyingi.
Daaah..., mi kuna mmoja alikuwa ananipiga danadana milion 1 yangu kama mwezi, mara ya mwisho naenda kumdai nikaambiwa hajafika kazini, siwezi sema hapa kilichompata, ila in short yupo kitandani hadi leo
 
Mwaka jana mwezi wa 1 ndo ilikua mwisho kukopesha pesa nyingi. Siku hizi kama mtu ana shida sana anaweka bond mali na namkopesha
 
Nilitamani kuona unamwomba samahani, unajua mkuu ukimtania mtu akarespond in a way ya kuona kwamba umem-offend, utaarabu ni kumwambia nisamehe kama nimekuudhi.

Then tunasonga mbele.
Kwani Mkuu kuna lugha ya matusi niliyotumia? au wewe umeelewaje post yangu?
 
Kwani Mkuu kuna lugha ya matusi niliyotumia? au wewe umeelewaje post yangu?

Hukutumia lugha kali, ila yeye ameitafsiri kama kashfa, as unaulizia kuhusu mauzo ya mwili wake! Nadhani ndo maana akajibu vile, i.e she found your post offensive, otherwise asingepost kile alichokipost.

Kama nimetafsiri vinginenvyo, nisamehewe.
 
Hukutumia lugha kali, ila yeye ameitafsiri kama kashfa, as unaulizia kuhusu mauzo ya mwili wake! Nadhani ndo maana akajibu vile, i.e she found your post offensive, otherwise asingepost kile alichokipost.

Kama nimetafsiri vinginenvyo, nisamehewe.
Achana nae...
 
Mzurumaji ni mzurumaji tu,ukiona Mtu anajitafutia self defence ya kutolipa deni tambua huyo ni mdaiwa sugu tena alishazoea kuzurumu wengine,mlipaji mzuri hata kama hana huwa hana kiburi,maneno ya kipuuz na huwa haleti dharau kwenye pesa ya Mtu
 
Kuna jamaa namdai pesa yangu lkn kajikausha tuli wakati aliniambia ndani ya wiki atarudisha, yaani usawa huu kumkopesha mtu ni kuongeza idadi ya maadui tu
 
Ujinga mtupu mbona we ulivyokuja kukopa ulikuja asubuhi sana
 
Nina brother flan nimepanga Nyumba yake. Ikifika tarehe ya kudai kodi utamsikia, " VP aisee mbona Leo hujaniletea hela", sasa may be naweza nikamjibu "samahan Ndugu yangu Leo cjakuletea hela yako kwa sababu nimekwama, HV karibuni kuna michakato namalizia kwa hyo pesa nitakuletea". Kitu cha ajabu utamsikia akisema " OK poa, basi niambie kesho nije saa ngapi kuchukua hiyo pesa?. Huwa nadata sana kwa kauli hiyo.
 
Achana nae...
Sikuwa na maana ya kukudhi it was just for fun ndo maana nikatumia lugha ya mafumbo nilitegemea utajibu positively kama unavyojua JF watu hupenda kufanya chalenge mbalimbali ili kufurahi na uzi kuchangamka.

Samahani kwa kuwa kikwazo kwako sikukusudia kukuudhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom