Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,374
- 18,173
Ona ulivyopendelewa.
Umeumbwa Bure kabisa, wala hukuingia mkataba na yeyote.
(kama anavyodai Manara wa Yanga)
Umepewa Class ya juu kabisa ya kuwa Binadamu, ( ungeumbwa Nzi sijui ungemlaumu nani)
Nadhani umezawadiwa utimamu wa akili na mwili, bure kabisa.
Umewekewa chakula cha kila aina bure kabisa (mashamba yapo panda mazao ule free of charge)
Umepewa maji ya kutumia, bure kabisa.
Umepewa hewa ya kuvuta, bure kabisa.
Ukaumbiwa Wanawake uchague wa kuishi naye, bure kabisa
Umepewa Uzima wa mwili, bure (kuna watu wana miaka mingi wamelazwa hospitali)
Umepewa namna ya kujitegemea na kujiletea maendeleo binafsi, bure kabisa
Umepewa uwezo wa kuzalisha watoto wa kike na wakiume, bure kabisa.
Yaani umepewa mamilioni ya faida zako binafsi bila kuingia mkataba na mtu.
Tena umeumbwa kwa thamani kubwa sana.
(Eg, kiungo chako kimoja kikiharibika mfano Jicho au Jino, hata ukiuza madini yote ya ulimwengu huu na sio kadunia kamoja, huwezi kukipata kwa kukinunua au kukifanya upya, hata uuze ulimwengu wate hupati, na una viungo vingi sana)
Na wewe ni mmoja tu, hata tokea mwingine na wala hakupata kutokea kama wewe.
Na zaidi na zaidi.
Je hupaswi kukaa mahali na kujiuliza maswali japo madogo tu kama.
Mimi ni nani
Kwanini nipo
Nani kahusika kwa uwepo wangu
Anataka nini hasa
Nini hatima yangu ya baadae
Binadamu anayefanana uwezo na mnyama siku zote.
Yupoyupo tu
Haelewi kwanini yupo
Bora siku ziende
Ilimradi ale na kushiba
Na kulala usingizi
Na kupata marafiki
Siku zinakwenda
Yupoyupo tu
Mimi sikuzote lazima nimshukuru aliyeniweka hapa duniani.
Na bado namtafuta ili nimfikishie asante yangu.
Kwa kipindi nilichokaa hapa duniani hakika nimeflahia maisha
Ni sehemu nzuri ya kuishi.
Huyo ndiye tegemeo langu namba moja.
Na kwakuwa nimetafakari sana na kuuliza uliza kwa walionitangulia sasa hivi nimemtambua.
Na nimefurahi sana kumtambua.
Na nimemwomba mambo mengine mengi tu.
Kwakuwa najua uwezo wake ni zadi yangu na watu na viumbe wote wa Ulimwengu huu.
Hii ndiyo Hekima ambayo haipo katika viumbe wengine isipokuwa Binadamu.
Bila hekima unafanana tu na mdudu Nzi.
Ilimradi yupo anafikiria kushiba na kulala tu basi.
Siku zinaenda.