Katuondolea vipenzi vyeti ametuacha na majonzi yasiyoisha.
Umefanya vema kumuonya lakini muache atumie Uhuru wake ikibidi hata kumtukana Mungu. Hatimaye "mtukanwaji" atamuhukumu sawa sawa na alivyoamua kuutumia uhuru aliopewa.Sasa Naja naja haya malalamiko umeleta huku unataka tukusaidieje?
Afu kuna mada nyingi tu za kipuuzi unaweza kuanzisha na ukapata wachangiaji.
Fanyeni dhihaka na vitu vingine, si Mungu.
Ukiishi kadri ya miongozo yake...hakuna vitisho.Vitisho kama hivi 👆🤔🤔
Mungu wa vitisho kwa watu wake ni Mungu mwenye stress kupita kawaida
Huyu ni wewe?Mkuu moto ni kwa wale viburi kama huyu mtoa mada, Mungu ni mwema siku zote
Na waliowapiga ni wale walioamua kuitumia Neema ya Mungu kujinufaisha "materially".Yupo sasa?
Waafrika tunapigwa sababu tumeachana na miungu yetu tukaambatana na miungu mfu ya kigeni
Sitarajii nieleweke leo
Wala hatujapigwa. Sema inavyoonekana wewe unasikiasikia tu neno "Mungu" lakini hujaamua kuonja uuone wema wake "live". Ndio maana huna "grounds" za kusimamia.Tabu kila sehemu
Kuna vitu ukivifikiria acha tu tumepigwa
AiseeeNishetani tu kampitia, shetani anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha hafi peke yake kwenye moto wa jehanamu
Tusali sana wapendwa
Hapana huyu siyo kichaa ila ameamua kututangazia matumizi yake binafsi ya uhuru aliopewa na Mungu ambao hata "Lucifer" kabla hajawa "Shetani" aliutumia.Wewe ni kichaa
Nchi ngumu kila idara

Watahukumiwa kwa "dhamiri zao"Mimi swali nalojiuliza waliokufa kipindi ukristo na uislam haujaingia tanzania watahukumiwaje?
Hahahaaaaa mleta mada hajui kwamba ni mpaka atakapoamua kumfanya Mungu kuwa Baba yake kwa kumpokea Yesu Kristo ndipo Mungu ajishughulishe na mambo yake. Kuna wakati Baba hujishughulisha na mahitaji ya watoto tu.Ndo maana kila siku unalalamika Mara huna hela ya kula, sijui huna Kazi. Mungu huwapa favor wanaompenda
Kumbe ukisikia neno "tunda" akili yako ina-switch kwamba ni "mbususu"?Mkila tunda hakika mtadanja!
Nani ambaye hajawahi kula mbususu humu ili asife?
Ndio manaakeKumbe ukisikia neno "tunda" akili yako ina-switch kwamba ni "mbususu"?
Sawa endelea kuisikiliza akili yakoNdio manaake
Kwani tunda ni mbususu ao appleMkila tunda hakika mtadanja!
Nani ambaye hajawahi kula mbususu humu ili asife?
Endelea na akili za Sunday school hizoKwani tunda ni mbususu ao apple