Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Hii ndiyo dhana kubwa, kuna mengi ya kufanya na mpezi wako zaidi ya ngono. Mnaweza kujiwekes utaratibu wa kupanda milima, kujifunza kuogelea, kuweka ma lengo ya vitabu vya kusoma
Ni kweli kbs tena ukweli mtupu...lakini mwanamke wa saivi cha kwanza lala nae ndo mengine ya fuate....siku hizi vijana tunawaza ngono mwanamke kakukubali hata kiuno hushiki anaona huyu good boy tu anakudharau.....fanya maajabu kwanza halafu mapenzi badae..
 
Kumbe nawe wa siku nyingi! Kwa sisi wa vijijini kulikuwa na wale wavulana waliochangamka mapema, basi unaambiwa mpaka ampate msichana hana budi kumfukuza kama duma amfukuzavyo swala, na msichana bado alikuwa akikataa mpaka point ya mwisho!
Tulikuwa tukienda likizo kijijini tunafanya party, tunawafundisha style mlizozitoa shule enzi hizo break dance
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Mambo ya fly but stop to Annie hahaha....

Shule & jeshi[jeshi limerudi vijana tumieni fursa] ndiyo sehemu nzuri ya kujenga mahusiamo. Kwingine unakutana na loosers tu.
 
Haikuwa enzi za warrant lakini train ulikuwa ndiyo usafiri wa kuaminika kwa wengi. Train ya Moshi tulitoka Dar saa 9-10 jioni tukifika Korogwe tun kura train ya Tanga inatusubiri, mabegewavya Moshi yanaugwa tunaanza safari. Moshi tunafika asubuhi saa tatu-nne hivi.
Njia hiyo ya train Tanga
/Dar nimeipitia sana O level nilikua Tanga School kwa mzee Teti
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Ah wife umenikumbusha wakati napata barua zako... Barua inaambatana na mchoro uliochomwa mkuki...

Umenikumbusha sana enzi nakuja kukumendea hapo Weruweru...

Na suruali yangu ya mchelemchele, shati la Azaro na Mokasini nyeupe niliyoweka chuma kwenye soli...

Unakumbuka mara ya kwanza tulipocheza blues kwenye disco la welcome form one??
 
Mambo ya fly but stop to Annie hahaha....

Shule & jeshi[jeshi limerudi vijana tumieni fursa] ndiyo sehemu nzuri ya kujenga mahusiamo. Kwingine unakutana na loosers tu.
Yah huko ndiyo mnakutana watu wenye interest zinazofanana
 
To men, sex is a symbol of love.

To women, sex is committing themself to a man.

Huo mchaka mchaka unaofataga sasa hasa kama mwanamme ni mlaghai 😀😀nacheka kama mazuri.
 
Kipimo cha sasa hivi chapenzi lakweli nikutiana vzr nakuridhishana nisipokutia vzr basi sikupendi nausiporidhika basi nawewe unipendi
 
Ah wife umenikumbusha wakati napata barua zako... Barua inaambatana na mchoro uliochomwa mkuki...

Umenikumbusha sana enzi nakuja kukumendea hapo Weruweru...

Na suruali yangu ya mchelemchele, shati la Azaro na Mokasini nyeupe niliyoweka chuma kwenye soli...

Unakumbuka mara ya kwanza tulipocheza blues kwenye disco la welcome form one??

Ah wife umenikumbusha wakati napata barua zako... Barua inaambatana na mchoro uliochomwa mkuki...

Umenikumbusha sana enzi nakuja kukumendea hapo Weruweru...

Na suruali yangu ya mchelemchele, shati la Azaro na Mokasini nyeupe niliyoweka chuma kwenye soli...

Unakumbuka mara ya kwanza tulipocheza blues kwenye disco la welcome form one??
hubby unakumbuka birthday presents ni handkerchief iliyofumwa to my love Asprin
 
hahahaha hivi we wa enzi hizo bado tunajadili wote mapenzi?

sisi tu tulioenda shule na basi lenye cariya tunaanza kustaafu.
Hahahah enzi mabasi yanasafiri usiku... Si tulikuwa tunapewa mabehewa ya treni... pale Korogwe tumekula sana nyama choma ya mwewe... Sijawahi kuona kuku ana miguu myembamba namna ile LOL
 
hubby unakumbuka birthday presents ni handkerchief iliyofumwa to my love Asprin
Nakumbuka tulivyokuwa tunakamatana kwenye blues hasa kale kawimbo ketu pendwa ka Judy Boucher ... That night we met...

Nikipata barua yako, siisomi mpaka nihakikishe nimeshakula na kuoga... Naisomea kitandani... baadae nawaringishia washkaji namna ulivyoniandikia maneno ya mahaba...
 
Hahahah enzi mabasi yanasafiri usiku... Si tulikuwa tunapewa mabehewa ya treni... pale Korogwe tumekula sana nyama choma ya mwewe... Sijawahi kuona kuku ana miguu myembamba namna ile LOL
hahahaha kuna story ya kuiba msosi wa mtu kwenye mabehewa usiku.., ntahadithia mida ambayo siyo ya kula. maana daaah
 
Utandawazi umeharibu vijana, wanakuwa cexposed na mambo mengi ambayo wanataka kuyajaribu
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Mpenzi ya sku hiz ni kama nguo dukani ukichelewa atakuwahi mwenzio yaani ni nilivyo natongoza leo kesho najitahid nimtafune

Maana madem wa siku hizi unaweza kumtongoza leo akakubali kesho kutwa kakuzingua ila ukiwa ushamla haiumi hata akikuzingua ila akikuzingua kabla hujamla utaomba ardhi ipasuke kwa dharau atakazo kuonesha

kusema kweli mimi nawabamizaga *******...yaani
akikubali tu kesho namwalika akuje geto na hapo hawez kutoka salama kama cjazamisha mshengelee bas ujue nimempiga dore[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
hahahaha kuna story ya kuiba msosi wa mtu kwenye mabehewa usiku.., ntahadithia mida ambayo siyo ya kula. maana daaah
Nami ntasimulia jamaa aliyekuwa na lengo la kumwibia bibi mmoja bia... asijue kumbe ile chupa haikuwa na bia bali bibi alikuwa akitemea makohozi...
 
Back
Top Bottom