Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Siku hizi hakuna mapenzi wala huo upendo kilicho baki ni kutamani na pesa njia rahisi kuvipata hivyo ni kusex tu kwa kwenda mbele
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Gone are the days when condoms were used for birth control. Gone are the days when love prevailed, kama unabisha fuatilia mambo ya Sheikh Mussa
 
Hayo yalikua mapenzi ya watoto wakishua, sisi kijijini ukimaliza darasa la 7 unatafutiwa mke.
Nyie mlipata nafasi ya kwenda chuo, hengereni sana.
 
Gone are the days when condoms were used for birth control. Gone are the days when love prevailed, kama unabisha fuatilia mambo ya Sheikh Mussa
Prevailed indeed, hapo ndio unapojenga mahusiano ya kukaa na mwenza miaka kumi akiwa mgonjwa
 
Hii ndiyo dhana kubwa, kuna mengi ya kufanya na mpezi wako zaidi ya ngono. Mnaweza kujiwekes utaratibu wa kupanda milima, kujifunza kuogelea, kuweka ma lengo ya vitabu vya kusoma
Mmmmh tatiz wew ni -ke- na sisi wengine tunajojoa tumesimama

Upo sahihi kwa upande wako na sisi waomba papuchi wakat mtongozo unaendlea tupo sahihi pia,,

Yaan niwe na urafiki na ke kwel?man huo ni urafiki na sio uhusiano WA kimapenzi

Kwanza umeona unaitwa "uhusiano WA kimapenzi"? SAS ili maandiko ya apo juu yatimie basi lazima "penzi kitovu cha uzembe " litolewe na tuunganishane

[emoji6]
Na wote tuseme ameeen[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hii ni relationship si lazima ihusishe sex, mnaweza kwenda kila mahali pamoja na mkaepuka mazingira ya kuwa wenyewe chumbani
 
Tatizo wanawake mmekua wajuaj na mnajiita mna akil nyingi

Nikifanya yote hayo ntaitwa bwege tena na wanawake wenzako

Nisipoomba mzigo naonekana nakula kwingine

Nina mfano mzur

Enzi flani nikiwa 1st year miak ya kati kati apo kuna -ke- flani sikumuomba mchezo kam miezi 3 na iyo yote nilikua busy San ,sas siku naomba mzigo hakujiuliza Mara mbili mbili ila baada ya mchezo akanichana siku zote nilkua WAP kuomba mzigo?

Na anasema alikua ananishangaa San niluvokua siombi mchezo
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Halafu watu wanafikiri sex ndio mapenzi kumbe ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Umenikumbusha date yangu ya kwanza, three good years bila bila, japo sisi beach zetu zilikuwa shamba huko but we loved each other.

Leo hii, unakutana na mtu kwenye daladala, mnabadilishana namba, jioni mnaitana "honey" na kuombana mkutane guest fulani, siku hiyo hiyo mnafunuana.
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Kipindi hicho rais ni nani na slogan yake ilisemaje?
Mkuu tunabadilika kulingana na nyakati na falsafa za viongozi wa wakati husika.
Awamu hii unaambiwa hapa kazi tu,na usipoifanya unatumbuliwa, sasa hayo mambo ya ku-date bila kubanjuana unafikiri yatapata nafasi?
 
Huwezi kuamini ilikuwa enzi za mzee Ruksa kila kitu kilikuwa ruksa lakini hatukuruhusu hayo.
 
Ahaaaaa ilikuwa ruksa kudate bila kugegedena,perfect.
Nyakati zimebadilika mama,tena nafikiri kuanzia kile kipindi cha ari na kasi zaidi (ya kugegedana).
 
Lakini mabinti bikra bado wapo mkuu
 
Mlango 13

1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
Asante sana
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Dah..ulivyoeleza ni km vile tumesoma shule moja...enzi ni zilezile na umegonga maisha yaleyale. Huwa nakumbuka dem wa kwanza kumgonga ilikuwa 1997. Mwaka mmoja baada ya kumaliza O-level. Tulikuwa tunadate na dem mmoja kwa miaka km 3 nyuma. Sasa bhaana,alikuwa amerudi likizo kijijini ambako tulikuwa tunaishi wote. Dem alikuwa ananipenda sana...!! Pale kijijini tulikuwa tunasimuliwa na wakubwa zetu,kwamba ukikubaliana na msichana,akija km ni shambani,usilaze damu. Kata mtama na umbane,chana chupi kisha piga mashine.

Basi,siku hiyo kweli tukapanga kukutana saa 12jioni,atakuwa anatoka kuchota maji. Kulikuwa na shamba la mihogo njiani ukiwa unaelekea home. Basi nilimsubiri pale,kweli akaja na ndoo yake ya maji,akaishusha halafu tukawa tunasogea katikati ya shamba,aisee km nilivyokaririshwa,sikulaza damu nikamfuta miguu yote,mwanaume nimeshapanda juu nachana Pichu...! Dem akawa analalamika me sijali,mwisho akatulia kwa hofu ya kuchelewa home. Nilihangaika kweli kumbikili lkn hatimae nilifanikiwa na kupata ile ladha mpaka kisogoni....!!

Kumbe yule demu nilimuumiza kidole cha mguu wakati nampiga mtama,kidole kimoja kilikwama kwenye shina la mhogo. Nilikutana nae nyumbani mwaka 2011,akanikumbusha ile story na kile kidole chake kilienda upande tangu wakati ule. Bahati mbaya alifariki mwaka 2014. Mungu amuweke pema!!!

Tangu hapo sijawahi kukutana tena na Bikira na kwa sasa haiwezekani tena,kwa sababu wanabikiriwa wakiwa na miaka 4 na mimi now nna 40+
 
Back
Top Bottom