Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

Wengi wanafikiri sex ndiyo mapenzi

SHDA SKU HZ UKILETA HZO SWAGA, WAJANJA WANAZUNGUKA WANAKULA MZGO, WE KUJA KUSTUKIA MWANA SI WAKO.. UNAKULA MAKOMBO
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkubwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Siamini kama na wewe umesoma enzi za train na goverment warrant na masurufu
 
Haikuwa enzi za warrant lakini train ulikuwa ndiyo usafiri wa kuaminika kwa wengi. Train ya Moshi tulitoka Dar saa 9-10 jioni tukifika Korogwe kukuta train ya Tanga inatusubiri, mabehewa ya Moshi yanaugwa tunaanza safari. Moshi tunafika asubuhi saa tatu-nne hivi.
 
Kiukweli kabisa, mapenzi ni Sex, yaani wapenzi wa wengi wa utotoni wamenyang'anywa kisa sex.

Embu fikiria vile mwanamke anakuwa mkimaliza sex, halafu we hufanyi naye aisee..

Msidanganyikeee
 
Achana na sisi,mlikuwa washamba wote ...wanaume na wanawake,siku hizi wanaume wajanja ukimzoea dakika mbili kesha kuambukiza hisia za ngono...kwanini nifuge embe dodo lililoiva kama sio kumtafuta ubaya panya..
Hii ndiyo dhana kubwa, kuna mengi ya kufanya na mpezi wako zaidi ya ngono. Mnaweza kujiwekes utaratibu wa kupanda milima, kujifunza kuogelea, kuweka ma lengo ya vitabu vya kusoma
 
Kila enzi na mambo yake. Mapenzi ya kweli yalikuwa enzi hizo sasa ni mepenzi pesa (bila pesa "hapendwi" mtu), kulikuwa na bugaluu, pekozi na shati slim fit, sasa kata kei. Kwa waliokuwepo enzi hizo hayo sasa yamebaki kumbukumbu tu vichwani. Ndiyo Dunia hii, inazunguka!!
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkubwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Dah !ndio maana manabii na mitume wengi walitokea zamani lakini sio kizazi hiki
 
Sister those was days when true love was there
Hahahaah Hivi Mpwa unajua Dada yako nilimpata nikiwa form Four?? Tukaandikiana Barua, tukakutana kwenye UKWATA miaka Ile Hahaahaha Yeye Lwandai Mimi Magamba Boys, hatareeeee. Yeye alikua form three, siku hio basi lilikua moja, nakumbuka lilikua linatoka Tanga, Yaani ile tumetoka Lushoto tunapandisha Milimani gari likaharibika, Mzee niko ndani ya Uniform ya Magamba Boys na yeye Yuko na Uniform ya Lwandai..... Duh hadi tunakuja kuona ilikua tumeshakaa hadi basi..

One thing sitakuja nisahau, Appointment zilikua real, tulikua tukiachana Jumapili Hii na tukipatana kukutana Jumapili ijayo basi itakua hivyo hivyo, Yaani kwa namna yoyote Ile lazima kama ni saa nane basi saa nane, ukikunja kona mbili tatu porini Kule lazima utamuona! Sitakaa nisahau.

Tulikua tunakwenda kushinda Pamoja view Point Irente tunaangalia bara bara ya Moshi kwa mbaaalli..... Dah those days! Dada mmoja akawa akipewa Barua aniletee anakausha nazo, kumbe alikua ananitaka hahahaa huyu Dada saa hizi anafanya kazi kwenye Taasisi moja kubwa ya serikali ni Lawyer...... Nimekumbuka Mbali Sana, nikiangalia watoto wangu nacheka saana
 
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkubwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.

Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.

Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.

Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.

Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.

Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
You nailed it best...... them days wow!
 
Haikuwa enzi za warrant lakini train ulikuwa ndiyo usafiri wa kuaminika kwa wengi. Train ya Moshi tulitoka Dar saa 9-10 jioni tukifika Korogwe tun kura train ya Tanga inatusubiri, mabegewavya Moshi yanaugwa tunaanza safari. Moshi tunafika asubuhi saa tatu-nne hivi.
hahahaha hivi we wa enzi hizo bado tunajadili wote mapenzi?

sisi tu tulioenda shule na basi lenye cariya tunaanza kustaafu.
 
Kiukweli kabisa, mapenzi ni Sex, yaani wapenzi wa wengi wa utotoni wamenyang'anywa kisa sex.

Embu fikiria vile mwanamke anakuwa mkimaliza sex, halafu we hufanyi naye aisee..

Msidanganyikeee[/QUOTE
Kila enzi na mambo yake. Mapenzi ya kweli yalikuwa enzi hizo sasa ni mepenzi pesa (bila pesa "hapendwi" mtu), kulikuwa na bugaluu, pekozi na shati slim fit, sasa kata kei. Kwa waliokuwepo enzi hizo hayo sasa yamebaki kumbukumbu tu vichwani. Ndiyo Dunia hii, inazunguka!!
kwetu sisi tulisuka nywele au kuchana hakukuwa na madawa sijui relaxer curl ilikuwa baadae sana
 
Hahahaah Hivi Mpwa unajua Dada yako nilimpata nikiwa form Four?? Tukaandikiana Barua, tukakutana kwenye UKWATA miaka Ile Hahaahaha Yeye Lwandai Mimi Magamba Boys, hatareeeee. Yeye alikua form three, siku hio basi lilikua moja, nakumbuka lilikua linatoka Tanga, Yaani ile tumetoka Lushoto tunapandisha Milimani gari likaharibika, Mzee niko ndani ya Uniform ya Magamba Boys na yeye Yuko na Uniform ya Lwandai..... Duh hadi tunakuja kuona ilikua tumeshakaa hadi basi..

One thing sitakuja nisahau, Appointment zilikua real, tulikua tukiachana Jumapili Hii na tukipatana kukutana Jumapili ijayo basi itakua hivyo hivyo, Yaani kwa namna yoyote Ile lazima kama ni saa nane basi saa nane, ukikunja kona mbili tatu porini Kule lazima utamuona! Sitakaa nisahau.

Tulikua tunakwenda kushinda Pamoja view Point Irente tunaangalia bara bara ya Moshi kwa mbaaalli..... Dah those days! Dada mmoja akawa akipewa Barua aniletee anakausha nazo, kumbe alikua ananitaka hahahaa huyu Dada saa hizi anafanya kazi kwenye Taasisi moja kubwa ya serikali ni Lawyer...... Nimekumbuka Mbali Sana, nikiangalia watoto wangu nacheka saana
Brother wangu walisoma Magamba boys enzi za headmaster Dimoso
 
Enzi hizo ukiwa na date unapaka mafutavya mgando kwenye lips zi shine kidogo na mhusika unazichana kwa juu alafu una zishape na kitana
 
kwetu sisi tulisuka nywele au kuchana hakukuwa na madawa sijui relaxer curl ilikuwa baadae sana
Kumbe nawe wa siku nyingi! Kwa sisi wa vijijini kulikuwa na wale wavulana waliochangamka mapema, basi unaambiwa mpaka ampate msichana hana budi kumfukuza kama duma amfukuzavyo swala, na msichana bado alikuwa akikataa mpaka point ya mwisho!
 
Kuwa wapenz bila kuunganisha mikojoleo yetu ni kidada na kaka
Mnamiss out the fun of dating, it's about meeting ur best friend and have a chance of knowing the person. Mkianza kushinda ghetto hata hampati nafasi ya kujuana
 
Back
Top Bottom