Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,400
Mimi na we toka long long time
Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Lengo ni utamu lakini unaufurahia utamu ukiwa tayari. Ngono zembe zina risk nyingi na katika hizi ni kukuharibia futureTuliweza kudate miaka miwili bila kupigana mizinga.
Ni level kwa level, wakati huo wazazi walikuwa wana take-up expenses zote kwa mtoto, ukishakuwa unajitegemea, ukikwama sehemu ukampiga mzinga boyfriend ambaye hata mwezi hamjamaliza atakutoa, je ikitokea ukapata shida tena utarudia kumpiga mzinga bila kumpa utamu?
Kiuhalisia mapenzi siyo kama hayahusishi ule mchezo, timing tu ndo zinatofautiana, kuwahi au kuchelewa mwisho wa siku lengo ni lile lile, utamu.
Wazazi walimudu mahitaji yetu kwani hayakuwa makubwa eti mtoto ana smart phone na anataka voucher kila siku au kwenda saloon
Kwa kweli tunavyojiuma na school fees hiyo hela ya iPhone 6 unaitoa wapiNdo changamoto tulizonazo kama wazazi kwa sasa.
Kuna siku nilipanda daladala na mwanafunzi ana iPhone 6, nikamuuliza akasema anasoma form 3 na shuleni wanaruhusiwa kuwa na simu.
Sikumuuliza umeitoa wapi, nilikaa kimya nikawaza.
Na Raizoni,mashati ya JulianaKila enzi na mambo yake. Mapenzi ya kweli yalikuwa enzi hizo sasa ni mepenzi pesa (bila pesa "hapendwi" mtu), kulikuwa na bugaluu, pekozi na shati slim fit, sasa kata kei. Kwa waliokuwepo enzi hizo hayo sasa yamebaki kumbukumbu tu vichwani. Ndiyo Dunia hii, inazunguka!!
Au unazichoma nywele.Enzi hizo ukiwa na date unapaka mafutavya mgando kwenye lips zi shine kidogo na mhusika unazichana kwa juu alafu una zishape na kitana
Inategemea na mtu na mtuWengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.
Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.
Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.
Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.
Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.
Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
[emoji1] [emoji1]mapenzi bila sex ni udada na ukaka tu
naomba nisirekebishwe
[emoji124]