hahahahahahahaha aaakhh..., basi banaNami ntasimulia jamaa aliyekuwa na lengo la kumwibia bibi mmoja bia... asijue kumbe ile chupa haikuwa na bia bali bibi alikuwa akitemea makohozi...
hahahahahahahaha aaakhh..., basi banaNami ntasimulia jamaa aliyekuwa na lengo la kumwibia bibi mmoja bia... asijue kumbe ile chupa haikuwa na bia bali bibi alikuwa akitemea makohozi...
Ushuhuda wa umefanya uzinzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukikutana na bikra inabidi utoe ushuhuda jumapili kanisani
Kitabu gani hichi mkuu?Mlango 13
1 Nijaposema kwa lugha za wanadamu na za malaika, kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo na upatu uvumao.
2 Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama sina upendo, si kitu mimi.
3 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;
5 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;
6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
7 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
8 Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika.
BibliaKitabu gani hichi mkuu?
Hii ndiyo dhana kubwa, kuna mengi ya kufanya na mpezi wako zaidi ya ngono. Mnaweza kujiwekes utaratibu wa kupanda milima, kujifunza kuogelea, kuweka ma lengo ya vitabu vya kusoma[/QUOTE
]
Mim nikimpata siku ya kwanza namuomba
Papuchi nikiipata Ndiyo naanza kupanga nae mambo Ya maendeleo.
Bongo hip hop lyricsMpenzi mmoja anakuahidi good sex.
Mwingine anakuahidi true love
Hata kutongoza haikuwa jambo rahisi nitendo lililokuwa la vijana majasiri,huenda ukatongoza kwania nzuri ikaharibu reputation yako kabisa,smart guys walichukia kuitwa wahuni lilikuwa jina baya sana,hata demu kama alikuzima siku ukimtongoza lazima akupige karenda kwanza sikuhizi hakuna heshima.kijana unatongoza hata zee barabarani tu poaNazani pia utanda wazi unachangia hii hali. Zama zenu ili kuonana na binti ilibidi umvizie akienda kanisani au bombani vinginvyo humuoni..
Sikuizi mitandao imelahisisha mambo na weza nikaishi bunju ila nikatongoza demu wa mwenge bira matatizo kabisa
Kesi za vibamia kutofikishwa kileleni na matangazo ya nguvu za kiume vimrshamiri wakati huuAchana na sisi,mlikuwa washamba wote ...wanaume na wanawake,siku hizi wanaume wajanja ukimzoea dakika mbili kesha kuambukiza hisia za ngono...kwanini nifuge embe dodo lililoiva kama sio kumtafuta ubaya panya..
Alikuwa na shida huyo jamaaWengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua.
Assembly mchana ukipata barua kutoka kwa Asprin unaisoma Mara tatu, ukimaliza unairudia tena. Wakati huo mnawekeana mchakato wa kwenda chuo.
Likizo mkikutana Dar, wote hamna pesa. Mnakwenda Empire cinema mkitoka hapo mna kunywa soda Kisha kila mtu anakwenda kwao. Story mnahadithiana za shule, novel za James Hadle Chase.
Kulikuwa na date za beach, mnakwenda na juice zenu, mnashikans mikono mnatembea if ukweni. Hakukuwa na mambo ya kupeana mimba.
Ni wangapi wanafanya hayo sikuhizi? Akishakutoa dinner tu, utalii pia hiyo, as one kitabu wee.
Tuliweza kudate miaka miwili bila sex.
Huyo alikuwa Kaka wa hiaritulidate miaka 15 bila sex