Wengi hawayajui haya kuhusu Tupac Omar Shakur (2pac)

Tena Mtu Maarufu kama yule, ambae anatambulika Ulimwenguni kote, ingeshajulikana.

Ujue kuna baadhi ya Watu wanatafuta kila mbinu kupitia Watu maarufu ili wauze Habari, hata Habari ikiwa ya uzushi Mtu yuko tayari kuirusha.

Hebu tupate ushahidi kamili kutoka kwa Tupac mwenyewe, kwa maneno yake mwenyewe, kuonesha kuwa hakuwa tayari kuacha kiumbe (Mtoto) hapa Ulimwenguni, mpaka siku anaiga Dunia/anauacha huu Ulimwengu kutoka kwenye Kibao chake cha kuitwa Hell for a Hustla.

Kibao nakidondoshea hapo chini:-
huyu hakuacha mtoto kweli.
Kuna mtu kama cristiano ronaldo hadi leo mama wa mtoto wake hajulikani na ni toka 2010 huyo mtoto amezaliwa, watu wanasema alimpa pesa huyo mwanamke aliezaa nae wakakubaliana mahakamani asije kutoa siri.
 
Pia ongezea godfather wake ni mtanzania from Arusha. Geranimmo Pratt alikufa na akazikwa Arusha taarifa zilitangazwa ktk mitandao ya ma blacks mwaka Jana kama sikosei.
Personal bodyguard wake alikuwa anaitwaFRANK WHITE ( don't confuse with bigs the then nick name).
2pac ameshiriki ktk civil right kwa kipindi chake kuraise awareness kwa mablacks.

Mama yake alikuwa ktk list ya wanted in USA gvt.

Aliingia ktk bifu na dre kuhusu nyimbo ya California .
Siku ya kupigwa risasi alivaa cheni ya ajab according to Frank white ilikuwa yenye picha ya black angel of death.
Mkuu huyo godfather wake alipata uraia wa tanzania. yeye ni mzaliwa wa huko louissana marekani.
 
huyu hakuacha mtoto kweli.
Kuna mtu kama cristiano ronaldo hadi leo mama wa mtoto wake hajulikani na ni toka 2010 huyo mtoto amezaliwa, watu wanasema alimpa pesa huyo mwanamke aliezaa nae wakakubaliana mahakamani asije kutoa siri.
Huo ndio ukweli, Tupac hakuacha Mtoto.

Na sababu za undani anazijua yeye mwenyewe Marehemu PAC.

Na hata kwenye Kibao chake cha kuitwa SMILE ambacho ameshirikiana/alishirikiana na Scarface, Tupac ameonesha kuwa hakuwa tayari kuwa na Mtoto, Hofu yake ni ushahidi tosha.

Hebu ngoja nikidondoshee Kibao chenyewe hapo chini:-
 
Ila kuna baadhi ya nyimbo yuko na watoto wadogo inaonekana alikua anawapenda ila alikua hataki kuacha uzao, cheki nyimbo kama brenda got a baby
 
Hivi huyu jamaa kabla hajafa alikua na mke?, alikua na watoto wangapi? na wapo hai? Je? wanajishughulisha na music?, shughuli gani tofauti?
 
Hivi huyu jamaa kabla hajafa alikua na mke?, alikua na watoto wangapi? na wapo hai? Je? wanajishughulisha na music?, shughuli gani tofauti?

Unataka tukasome tuje tukuhadithie??..acha uvivu dogo..yaani hata story ya maisha yake unataka uhadithiwe??..wewe Google unaitumia kwenye nini hasa. Acha uzembe
 
Back
Top Bottom