Wengi hawajui kwanini tunasema 'Life begins at 40'

Wengi hawajui kwanini tunasema 'Life begins at 40'

Dah.. Ungejaribu hata ku-summarize kidogo basi...

Sasa hapo umetoa maoni, ushauri au dukuduku?
 
Kuna wengine at 25 wana maisha bora sana, nyumba, viwanja, magari, vitega uchumi n.k. kweli maisha yanatofautiana. Lakini vile vile background inasaidia.

Mkuu hapo mwisho sijakuelewa ni background ipi unaisema?
 
Dah.. Ungejaribu hata ku-summarize kidogo basi...

Sasa hapo umetoa maoni, ushauri au dukuduku?

Tatizo amei copy kisha akai paste hapa.
TATIZO BADO LIPO.
 
Mkuu hapo mwisho sijakuelewa ni background ipi unaisema?

We unamaliza chuo ukiwa na miaka let's say 21 unaanza kuhangaika na bahasha ya kaki kama two years, mwisho wa siku unapata kazi Mwanza wewe unatokea kwa mfano Mbeya, jiyo kazi inakupa take home la 6, umepanga nyumba kwa mwezi unalipa laki moja, plus bill ya umeme na maji. Kazini kwenda unatumia nauli kila siku let's say 1000 kwa siku 30 ni elfu 30, hapo haujala haujavaa.
Wakati unasoma ulikuwa na rafiki yako wote mmemaliza sawa kabisa yeye anarudi mtaani hata hajakaa sawa anapewa kitengo somewhere take home 1.5 anakaa nyumbani, anakula nyumbani, hajui nauli ya bus, hajui bill ya umeme, hajui bill ya maji wala hajui kilo ya dona. Mtoto kama huyo utakuta hata bado anapewa pocket money na wazazi, sawa labda utasema huyu mtu kwa kuwa ametafuniwa kila kitu basi hatokuwa na akili ya kimaisha jibu laweza kuwa NO lakini laweza kuwa YES mifano mingi mimi ninayo, kuna jamaa tulisoma nao walibadilisha maisha yao ndani ya 3 years wana nyumba si moja, magari na vitega uchumi pia.
Kuna jamaa yeye alipomaliza chuo alipewa mtaji wa mil 50, akanunuliwa printers, scanners, photocopy machine, computers na stationary facilities nyingine. Huyu jamaa sasa hivi naweza sema ni very reach anaenda China kama anakwenda Mwenge tokea Sinza, ana hizo stationary zaidi ya kumi, amejiri wafanyakazi zaidi ya ishirini yeye mwenyewe hata hakai, kazi yake kubwa ni kwenda Dubai na China kuchukua mzigo, this guy is 25 even less.
Kwa sisi kuku wa kienyeji na familia zetu inawezekana kabisa kufanikiwa ndani ya 40 years inaweza kuwa ni ndoto tu. Vijana wengi ambao labda walifanikiwa haraka labda wale ambao walibahatika tu kwa kuiba huko kwenye makampuni ya wahindi au hata serikalini.
 
At 40 ukamilishe yote hayo kwa hapa TZ bado. Labda sijui uwe umezaliwa ktk familia bora ama ya kati flani hv. Nje ya hapo at 40 utakuwa bado hujakamilisha hayo kwa asilimia zaidi ya nusu.

Actually msemo sahihi ni kuwa 'life begins at 50' na siyo 40.

At 50 utakuwa umeshajijenga kimaisha, umeshasomesha watoto wako na labda hata kuozesha, kwa hivyo huna majukumu makubwa ya kifamilia.

At 50 ndiyo unaanza kutanua kwa kwenda vacation na matembezi kwani utakuwa na fedha na muda mzuri wa kupanga ratiba zako bila ya bugudha ya watoto (ijapokuwa kwa huku kwetu extended families bado zitakuwa zinakusumbua kwa majukumu)
 
post nzuri sana hii ila kuna vijimaringo flani ivi ndani yake.
maisha ni maisha tu.
safari iendele.....
 
Khaa!! Kama mategemeo ya kuishi bongo ni 45yrs. Ina maana ukiwa na 40yrs umebaki na miezi 60 ya kuishi ?
A%20S-smoking.gif
 
Actually msemo sahihi ni kuwa 'life begins at 50' na siyo 40.

At 50 utakuwa umeshajijenga kimaisha, umeshasomesha watoto wako na labda hata kuozesha, kwa hivyo huna majukumu makubwa ya kifamilia.

At 50 ndiyo unaanza kutanua kwa kwenda vacation na matembezi kwani utakuwa na fedha na muda mzuri wa kupanga ratiba zako bila ya bugudha ya watoto (ijapokuwa kwa huku kwetu extended families bado zitakuwa zinakusumbua kwa majukumu)

acha kudanganya nimeanza kwenda vacation na miaka 18 kila mwaka nimejiwekea kwenda nchi zisizopungua 5.

Ni malengo na kuweka akiba ila kwa wabongo ni ngumu kwa sisi cash za dolla ni kitu kidogo
 
Ndo hapa naona udhaifu wa vijana si kila kitu cha kuambiwa fursa unaiona mwenyewe kulingana na maisha unayoishi,kulingana na upana wako wa kufikiri na motivations ndani yako.

Fursa si za kufundishwa ndo maana tunaishia kuigana Fulani kalima ngoja na Mimi nikalime mwisho wa siku unajikuta umeanguka.

Tengeneza fursa kulingana na wewe mwenyewe.

Hapo umenena.
 
acha kudanganya nimeanza kwenda vacation na miaka 18 kila mwaka nimejiwekea kwenda nchi zisizopungua 5.

Ni malengo na kuweka akiba ila kwa wabongo ni ngumu kwa sisi cash za dolla ni kitu kidogo

Labda wewe mwenzetu ni exceptional kuwa unatembelea nchi tano kwa mwaka kwa vacation (which I find very doubtful unfortunately!)

Ni wangapi wanaweza kufanya hivyo hapa nchini na hata huko Ulaya? Labda kama una ile biashara maarufu ya kukuingizia fedha nyingi kwa muda mfupi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom