Chadema watabisha na hilihiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Verified by whom?hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Makusanyo ya bilioni 40 kwa shughuli ipi ya kiuchumi?hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Acha ujinga.Chato ina population ya 365,127 kwa sensa iliyopita.hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
source: Star Tv (habari saa 2)
Sijajua yanayozungumzwa humu.Eti Chato Bi.40 Akili zimewahama.Zilichotwa hazina zikamwagwa pale halafu eti mapato ya hal ya chato.Hako ka halimashauri kana umri gani tangu kazaliwe. Hovuo kupita maelezo.Nikae hapa eti naamini upumbavu wa data yeyote kuhusu chochote kutoka kwenye hii serikali?...
sijawaona wachaga waliochukia chato. wachukie ili wapate nini? ni kamjincha zaman ndio lakin kanatoa mapato makubwa kuliko chato.Wachaga wameichukia sana chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani