Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

source: Star Tv (habari saa 2)
Kama ni Taarifa za bajeti ya Halmashauri , hii ni mapato ya vyanzo mbalimbali ,ruzuku na mishahara ya walimu na watumishi wa kada mbalimbali kwa mwaka.

Yaani baada ya kulibaini kuwa hakuna ufafanuzi wa takwimu uliotolewa na mleta taarifa hii,kwani chanzo cha Taarifa huwa ni Taasisi yenye kuandaa au kumiliki hizo takwimu na wala sio chombo cha habari kama " starTV"!!!
 
Hata yule Marehemu Raisi wa Burundi, alimentary uwanja wa mpira wa kimataifa kijijini kwao, ili aweze kuchen mpira, kwa siku mbili kwa mwezi.
 
hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

source: Star Tv (habari saa 2)
Kuna miji mingapi iliyofikia makusanyo hayo?
 
Chatto ambapo taa ziki kusimamisha mpaka zinapokuruhusu tena hakuna gari lilopita mbele yako ndio ikusanye hizo fedha?
Takwimu za kupikwa Kama zile za ripoti ya mfumuko wa bei
Hapana uliona vibaya taa ya kijani ikiwaka utaona mbuzi wakipita. Nilishangaa sana wale mbuzi.
Watu wa kule wakogo busy na kulima mpunga taa zinawajaga tu.
 
Chato wilaya ambayo kuna wavuvi wengi na wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu kwa hiyo si ajabu mapato kuwa hivyo.
 
Acha ujinga.Chato ina population ya 365,127 kwa sensa iliyopita.

Kwa mapato ya bilioni 40, inabidi kila mwannachi huko achangie kodi ya 110,000 kwa wastani kwa mwaka.

Chato haina mzao ya biashara kukidhi hali hiyo, na chako haina kiwanda wala machimbo ya kutoa kodi hizo.

Heri ukawadanganye wenzio wasio enda shule.
KATORO/BUSERESERE
 
Chadema watabisha na hili
Hawawezi kabisa! Mbona walishindwa kujua 1.5trilioni ilitumika wapi? Na kiasi hicho kilikusanywa na serkali. Si zaidi kwa tubilioni 40 kusema umetukusanya wakati hujatukusanya? Zile 1.5 T alizihalalisha mchadema badala ya CAG itakuwa hizi kiduchu wakati covid-19 yupo? Hata CAG aliyeambiwa kuwa aweza kaa mwaka mmoja tu, yupo. Anakumbuka vyema. Hajaanzisha mhimili ndani ya mhimili wa Ndugai, unaoelea juu ya mhimili uliojichimbia zaidi ya yote. CAG anayejua kukagua mahesabu ya serkali akijua yupo mwenye serkali yake. 40B kutoka Chato hakuna wa kubisha. Hata mwenye faili Mirembe anakubali!
 
Back
Top Bottom