yeah, mbaya zaidi na sasa umepata maoni kutoka kwa verified mpuuzi!Uzi wa kipuuzi
Labda wanaongelea katoro na buseresereMleta post, Chato hupajui, muda huu nipo Chato, natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya, nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo kuna chakula kizuri kuliko motel.
Hayo makusanyo labda Jiwe ametoa pesa za Serikali kupeleka Halmashari ili ionekane Kuna uchumi wa kati, Kama ilivyotokea Dodoma iliizidi hata Kinondoni na Tunduma.
Jamani ameshasema ni makusanyo ya 2021/2022 kitu gani hamuelewi?Mleta post, Chato hupajui, muda huu nipo Chato, natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya, nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo kuna chakula kizuri kuliko motel.
Hayo makusanyo labda Jiwe ametoa pesa za Serikali kupeleka Halmashari ili ionekane Kuna uchumi wa kati, Kama ilivyotokea Dodoma iliizidi hata Kinondoni na Tunduma.
Kumbe ni mapato ya 2021/2022 ? Basi sawa !Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili.
Source: Star Tv (habari saa 2)