Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

Mleta post, Chato hupajui, muda huu nipo Chato, natafuta chakula J's Motel vyakula vyao ni vibaya, nipo pembeni yake kwa mama lishe ndiyo kuna chakula kizuri kuliko motel.

Hayo makusanyo labda Jiwe ametoa pesa za Serikali kupeleka Halmashari ili ionekane Kuna uchumi wa kati, Kama ilivyotokea Dodoma iliizidi hata Kinondoni na Tunduma.
 
hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea.....wengi nafikiri hatukulifikiria hili.

source: Star Tv (habari saa 2)
Acha ujinga.Chato ina population ya 365,127 kwa sensa iliyopita.

Kwa mapato ya bilioni 40, inabidi kila mwannachi huko achangie kodi ya 110,000 kwa wastani kwa mwaka.

Chato haina mzao ya biashara kukidhi hali hiyo, na chako haina kiwanda wala machimbo ya kutoa kodi hizo.

Heri ukawadanganye wenzio wasio enda shule.
 
Nikae hapa eti naamini upumbavu wa data yeyote kuhusu chochote kutoka kwenye hii serikali?...
Sijajua yanayozungumzwa humu.Eti Chato Bi.40 Akili zimewahama.Zilichotwa hazina zikamwagwa pale halafu eti mapato ya hal ya chato.Hako ka halimashauri kana umri gani tangu kazaliwe. Hovuo kupita maelezo.
 
Wachaga wameichukia sana chato maana kamoshi kamebaki kamji ka kizamani
sijawaona wachaga waliochukia chato. wachukie ili wapate nini? ni kamjincha zaman ndio lakin kanatoa mapato makubwa kuliko chato.
mkoa mzima tu wa KLM unatoa mapato ya kutosha.. hata leo serikal ikisema wajitenge wanaweza kujiendesha.

waichukie chato kwa sababu zipi?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom