Wema wa WEMA uko wapi?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,502
Reaction score
911,255
1) Utendapo wema maana yake unamjali mwenzio.
Yaani maana yake umejilipa mwenyewe kabisa.
Kwani lolote tutendalo huwa tunajitenda wenyewe!
Liwe jema au la, Muumba huturudishia lile lile!
Lakini wema usiwe wa kutenganisha familia zao!
Unapoitenganisha, wewe ni mkatili na siyo mwema.
Wema wa WEMA uko wapi?



2) Kama wewe siyo mkatili basi sasa u nani wewe?
Ukimnusuru rafiki lupango na kumwacha mume!
Mume anaendelea kusota ndani hivi ukoje wewe?
Sasa hapo umeijenga familia au kuibomoa kabisa?
Si kheri wote wakaendelea kusota kule lupango tu?
Kama watoto nd'o kisingizio, lakini yakubalika kweli?
Wema wa WEMA uko wapi?

3) Kajala hamtembelei katu mzee kule korokoroni!
VISA pia imelonga haya kwa kirefu sana mmmmh!
Matanuzi yao yaendelea na huku mzee anasota!
Kipimo cha wema kiwe hakuna kubaguana katu katu.
Nguvu tuzikusanye na mzee tumwopoe kule gerezani.
Wana JF jitokezeni kumchangia Baba Kajala naye atoke.
Wema wa WEMA uko wapi?


N.B:- Inspired by VISA tabloid of may 16th -22nd, 2013 No. 108.....ISSN 0821-584.
 
my swt bro Rutashubanyuma umenifanya nitoe chozi dominika ya leo.
nimejikuta nawaza kwamba nafsi ya kwanza umoja ina nguzu zaid kuliko nafsi ya pili umoja.

Sweetheart umepotelea wapi siku hizi? Sikuoni kwenye hizi anga. Hata mie nilipoisoma hii khabari nilijawa ma msongo wa mawazo. Atushirikishe tufanye kitu swafiiiii siyo mambo kulipualipua tu.
 
Ujio mwema,
Nia yenye wema,
Matendo ya wema,

Hapo fadhila yenye wema hukurudia nafsi yako.

Hapo kwenye nyekundu ndiyo kuna mushkeli. Malengo ya mtenda wema ndiyo huleta kizungumkuti . Ukisikia wako kwenye matanuzi nao mzee katelekezwa lupango inaacha vinywa wazi. Malengo yalikuwa ni kujitafutia uhuru wa kujiachia au? Tuanze kutetea haki za wanaumme au tumekwisha kabisa.
 
Hata uwe mwema kiasi gani watu hawana fadhila hawatoisha kukuponda 2..binadamu wamejawa hila sana..we kama unaamua kufanya jambo lako lifanye kwa ajili ya kutaka radhi za Mungu na si binadamu..,,KAMWE HAWAFADHILIKI

Hii ni kauli ya Muumba. "Whatever you hands find to do, do it heartily as to the LORD and not to men." Colossians 3:23/25?
 
Nimeachwa nyuma kidogo....ado ado ntafika lakini.
 
Hii ni kauli ya Muumba. "Whatever you hands find to do, do it heartily as to the LORD and not to men." Colossians 3:23/25?

na ukishalijua hilo..utakua mwenye amani siku zote na hutosita kutenda wema kwa ajili ya radhi za Mungu 2 na si kwa ajili ya kuwafurahisha wanadamu..,,!!
 
Sasa huyu mwanaume si mwizi na ameiba hela nyingi Wema sepetu atatoa wapi hayo mamilioni ya kumuokoa? mi naona huyu bwana apumzike tu huko salama maana hukumu ikishapita imepita
 
Wema ..angemtoa mume wa Kajala af akamuacha shostire ake ingekuweje?siangenangwa hadi nursery schools?
Imagine Wema mkeo af ana shoga ake kipenzi na mumewe wamefungwa,then anamtoa mumewe af shogake anaachwa..?!!!
Kuhusu kutanua ni mtu mwenyewe may be anakitu anafanya ili amtoe mumewe u never know.
Bana mkono wake na roho yake vimefika vilipofika.
Wasanii nao waoneshe umoja.
 

Are you serious???
Try to understand before judging.
Na kama ukiendelea kujiuliza maswali ya kumjudg mwingine ujue kabisa wewe ni mnafiki.

You want to be seen as too considerate to others?
Seeking external symphanthy isn't a deal!
Let a person do what she can/believes . . . leave the rest to GOD.

As its non of your business, the best way you can do . . . ni kutoa ushauri.
Na sio kuutafuta wema wa mtu.

If you can't bless alichokifanya mwenzio hata kama ni kidogo . . . basi mind your own business.
Na sio kuanza kutafuta vijisababu sababu tu ili kudisaprove the good will of her.
 
Sasa huyu mwanaume si mwizi na ameiba hela nyingi Wema sepetu atatoa wapi hayo mamilioni ya kumuokoa? mi naona huyu bwana apumzike tu huko salama maana hukumu ikishapita imepita

istoshe ndio huyu mwanaume kamponza kajala kumuingiza ktk madili ya kijambazi yake ndo maana adhabu yake ilikua kubwa hata kumlipia huwezi
 
Sasa kwa nini usiwaulizie marafiki zake huyo mwanaume? Wema anaweza kujisikia kuwajibika kumsaidia rafiki yake. Lakini hajajisikia wajibu kwa mume wa rafiki.

Unamjua mfadhili behind hela aliyotoa wema? Na unajuaje juu ya mahusiano ya wema na shemejie? Manake usikute Kajala alikuwa anaambiwa 'staki nikuone na Wema anakufundisha tabia mbaya'. Saa hizi Wema hawezi kujitia ushemeji labda. Na huyo mwanaume hana ndugu? Una uhakika Kajala haendi kumuona mumewe gerezani?
 
hivi huyu jamaa (mume wa kajala) si achukue hizo pesa alizotakatisha alipe hiyo fine atoke? alipiga dili kubwa nashangaa anashindwa kulipa fine!!!
 
loya wema wa wema ulifikia kikomo cha wema pale
kwani yule mwenzenu nasikia alitakiwa mkwanja mrefu sana
sijajua hata huyu pepari mwenye jina la mkufu kwanini amekaa kimya
niliamini kuwa angemnusuru mwenzie, au naye anaangalia maganuni i never know.

kujirusha ni wajibu,
hivi bongo hii kwa vijana kama wale unategemea nini loya wangu.

asante kwa ujumbe lakini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…