Wema wa WEMA uko wapi?

Wema wa WEMA uko wapi?

Nina allergy na mashairi in the first place! Hata hivyo wema hutoka ku-moyo, matendo ni uwakilishi tu. Unfortunately you can only feel WEMA, you can not see it
 
1) Utendapo wema maana yake unamjali mwenzio.
Yaani maana yake umejilipa mwenyewe kabisa.
Kwani lolote tutendalo huwa tunajitenda wenyewe!
Liwe jema au la, Muumba huturudishia lile lile!
Lakini wema usiwe wa kutenganisha familia zao!
Unapoitenganisha, wewe ni mkatili na siyo mwema.
Wema wa WEMA uko wapi?



Lakini kumbuka wema hauwezi kuzidi uwezo ulionao.
 
++
Duniani kitu Wema
Wema haujaonekana
Kilichobaki ni dhuluma
Wabaya ndo wanatana
Hakuna matendo mema
,,,,,,,,,
Wema wamepakwa jivu
Hivyo hwataonekana
Ni mashaka yangalipooo
Wemaa hawna maisha
,,
Wema wangeishi
Neema tungezipata,,,,,,,,,,,,,,,
(Maneno ktk wimbo wa zamani wa mwanamuziki mmoja huko Kenya) Rutashubanyuma upo hapo

++
 
Last edited by a moderator:
++
Duniani kitu Wema
Wema haujaonekana
Kilichobaki ni dhuluma
Wabaya ndo wanatana
Hakuna matendo mema
,,,,,,,,,
Wema wamepakwa jivu
Hivyo hwataonekana
Ni mashaka yangalipooo
Wemaa hawna maisha
,,
Wema wangeishi
Neema tungezipata,,,,,,,,,,,,,,,
(Maneno ktk wimbo wa zamani wa mwanamuziki mmoja huko Kenya) Rutashubanyuma upo hapo

++

tenzi imekaa pema kabisaaaaaaaa
 
wema wa wema wewe unautaka wa nini.....?
sasa if one can be saved why should wema left her suffer

Wema wa WEMA bado sijauona ila naona amewaongezea maumivu wahusikaaaaaa
 
Lakini kumbuka wema hauwezi kuzidi uwezo ulionao.

BIG POINT akesha kugundua hivyo yabidi atafute nguvu shirikishi kama ile ya polisi shirikishi au tukimwezesha ataweza!
 
Duuu mme nae wataenda kumtoa wengine

Faini ya Kajala haikuwa kubwa kama ya Husband wake

fafanua. Yawezekana kosa lilelile faini zitofautiane kweli?
 
Nina allergy na mashairi in the first place! Hata hivyo wema hutoka ku-moyo, matendo ni uwakilishi tu. Unfortunately you can only feel WEMA, you can not see it

Hii is almost a rephrase ya PROVERBS 24:9:-

"The devising of foolishness is a sin and a scoffer is an abomination to men."
 
Wema ..angemtoa mume wa Kajala af akamuacha shostire ake ingekuweje?siangenangwa hadi nursery schools?
Imagine Wema mkeo af ana shoga ake kipenzi na mumewe wamefungwa,then anamtoa mumewe af shogake anaachwa..?!!!
Kuhusu kutanua ni mtu mwenyewe may be anakitu anafanya ili amtoe mumewe u never know.
Bana mkono wake na roho yake vimefika vilipofika.
Wasanii nao waoneshe umoja.

michango iendelee
 
na ukishalijua hilo..utakua mwenye amani siku zote na hutosita kutenda wema kwa ajili ya radhi za Mungu 2 na si kwa ajili ya kuwafurahisha wanadamu..,,!!

Amen! Ni busara tupu hapo.
 
Sasa huyu mwanaume si mwizi na ameiba hela nyingi Wema sepetu atatoa wapi hayo mamilioni ya kumuokoa? mi naona huyu bwana apumzike tu huko salama maana hukumu ikishapita imepita

waliziiba na mkewe kwahiyo kama suala ni wizi basi wote walifaa kubakia kulekule. Kama ni kuwahurumia na kuwapa nafasi nyingine ilibidi wote tuwatoe.
 
Are you serious???
Try to understand before judging.
Na kama ukiendelea kujiuliza maswali ya kumjudg mwingine ujue kabisa wewe ni mnafiki.

You want to be seen as too considerate to others?
Seeking external symphanthy isn't a deal!
Let a person do what she can/believes . . . leave the rest to GOD.

As its non of your business, the best way you can do . . . ni kutoa ushauri.
Na sio kuutafuta wema wa mtu.

If you can't bless alichokifanya mwenzio hata kama ni kidogo . . . basi mind your own business.
Na sio kuanza kutafuta vijisababu sababu tu ili kudisaprove the good will of her.

Judgmental? And what have you dubbed here if it is not the same stuff you are debasing me with!

It is written "If I contend with a fool who will notice the difference?"

Kubwa kuna khoja ambazo nimeziuliza ambazo hujaijibu hata moja zaidi ya kuanzisha mazogo ambayo wala sikuyakusudia. Ushauri wangu ni kuwa rudia kusoma tena na ujielimishe kwa upya. Jingine Beware with idol-worshipping. They are just mortal humans and one day they will dissappear just like a vapour.
 
loya wema wa wema ulifikia kikomo cha wema pale
kwani yule mwenzenu nasikia alitakiwa mkwanja mrefu sana
sijajua hata huyu pepari mwenye jina la mkufu kwanini amekaa kimya
niliamini kuwa angemnusuru mwenzie, au naye anaangalia maganuni i never know.

kujirusha ni wajibu,
hivi bongo hii kwa vijana kama wale unategemea nini loya wangu.

asante kwa ujumbe lakini.

Thanx Mamndenyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom