Wema wa rais Samia usiooonekana

Kuna Ushahidi mwingi sana kuonyesha watu wasio na hatia wakipigwa risasi majumbani kwa sababu hiyo hii argument ya kusema Waliouliwa tarehe 29/10/2025 walikuwa ni wavamizi inatupwa dirishani,Watoto wadogo pia walipigwa risasi..Ushahidi unawafunga vibaya sana,hata argument ya kusema Waandamaji walikuwa na Silaha inatupwa dirishani..
 
Kifo cha James Temba kingetokea awamu ya MAGU mngetokwa mapovu sana
 
RIP Ally Kibao
 
ndugu siku ile hata ungekuwa wewe mtu wa dola ungekuwa umechanganyikiwa unasikia mara huku mara kule inawezekana ukilenga kule ukakosea au ukayumba ikaenda kwingine , wale wezi wasingelianzisha silaha ingetumika ya nini?
 
Tunachojua ni kuwa ameua Watanganyika zaidi ya 10,000 hayo mengi ni sawa na kujilisha upepo tu.
 
ndugu siku ile hata ungekuwa wewe mtu wa dola ungekuwa umechanganyikiwa unasikia mara huku mara kule inawezekana ukilenga kule ukakosea au ukayumba ikaenda kwingine , wale wezi wasingelianzisha silaha ingetumika ya nini?
Hao watu Dola walichanganyikiwa au walipigwa upofu??Ushahidi wa kutosha ulirekodiwa na kurushwa online,Mauwaji na hata zile arbitrary detention zilizokuwa zinafanywa,wale watu walikuwa wamevunjwa Miguu na kuchomwa na pasi kuonyesha jinsi Dola ilivyokuwa Ina torture watu wasio na hatia zilifanikiwa kusambazwa vizuri tu,lengo la kuzima Internet au kupunguza speed ya Internet ili kusifanyike documentation kuzuia future prosecution ilishindikana,ndio maana hata kubadilisha narrative imeshindikana na kila sababu inayotolewa kujaribu kujitetea inashindikana.
 
Kaka paschal, nipo hapa nasikiliza kipindi cha jenerali ulimwengu akiwa na mzee warioba.

Mtu mwenye akili timamu...atakujibu ulicho kisema kaka paschali NI MTOTO KUMZAA MAMA YAKE... Is it possible???!!
 
Kaka paschal, nipo hapa nasikiliza kipindi cha jenerali ulimwengu akiwa na mzee warioba.

Mtu mwenye akili timamu...atakujibu ulicho kisema kaka paschali NI MTOTO KUMZAA MAMA YAKE... Is it possible???!!
It is a good program, nimekiangalia jana, kiukweli, Jaji Warioba ndie the one and only man anayemuishi Mwalimu Nyerere, hataki ujinga!, hili jambo ni kubwa, rais kaunda tume, ikitarajiwa itakuwa public, Maza kausunda kwenye kijaluba chake!.

Ila Waandishi wa Nyerere type tupo!. Baada ya kile kilichotokea Dodoma ile January, 2025, nilimuandikia Dada Barua Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Kilichokeo October 29 ni mwanzo tuu!, mengine makubwa, magumu zaidi, yanafuata!.
P
 
Asante kaka,
Hapo kwenye makubwa, magumu zaidi.
Hii kauli inatupa / inanipa uoga it means hata KUANDIKA ANDIKA HUMU MTANDAONI / MIKWAJU INAWEZA KUKUFIKIA/ KUMFIKIA MTU 🤔
 
Asante kaka,
Hapo kwenye makubwa, magumu zaidi.
Hii kauli inatupa / inanipa uoga it means hata KUANDIKA ANDIKA HUMU MTANDAONI / MIKWAJU INAWEZA KUKUFIKIA/ KUMFIKIA MTU 🤔
Mimi najihesabu ni mmoja wa wana jf, wakweli kabisa, toka ndani ya nafsi yangu, na amimi usiamini, baadhi ya ukweli wangu huwaudhi watu wanaopenda uongo, amini usiamini JPM alinipenda sana, kwasababu, humu alikuwa anaingia mwenyewe, anasoma mwenyewe, anakasirika sana kuambiwa vitu humu, ila mwisho wa siku, alikuwa anavikubali na kubadilika, hivyo tumemsaidia sana, tofauti na Rais Samia, yuko too busy, hapati muda wa kupita humu, na sina reference ya kubadili jambo lolote kwa vile jf imesema, JPM kabadili mambo mengi kwa kuambiwa humu jf, hata hivyo, nimeendelea kuwasisi wana jf, nchi ya Tanzania ni nchi yetu, na Rais Samia ni Rais Wetu, tuna wajibu wa kumsaidia, kwa kumshauri the right thing to do!. Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

P
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…