mambo hayaendi vizuri kwani wewe unamsikia Comred kinana anapigana kama kipindi cha nyuma?Sawa, lkn umesikia msemaji Mkuu wa CCM akisema chochote kuhusu huu ujinga? Na ndicho ninachomaanisha, zamani ilikuwa ni rasmi kabisa CCM inatoa tamko, lkn sasa hvi hata UVCCM tu kimya kabisa, hawana mpango na mambo ya kimbea na kinafiki!
teh teh cdm ndio imejitwisha umbea na wambea..safi sana uzi umekaa murua.Binafsi kama kuna mambo yaliyokuwa yananikera CCM ni lile la kutolea matamko kila jambo, yaani kuita Wanahabari kwa mambo ambayo hata hayastahili kwa Chama kikubwa kama CCM kujieleza, ilikuwa hata mtu akiandika jambo istagram au facebook basi kesho yake utasikia tamko ramsi la Chama, hili jambo lilikuwa linanikera sana kupita maelezo, sasa hili la Wema Sepetu na Mama yake CCM imekaa kimya kabisa na kuwaacha chadema wakisherehekea kujiunga kwa Wema na Mama yake!
Hakika ni kweli kwamba, CCM inapotoa mguu ndipo chadema inapokanyaga! CCM imejirudi na kuacha Siasa za kisanii sasa chadema ndiyo imeingia ulingoni full mambo ya kimbea na mipasho kama Wema mwenyewe!
kigumu chama cha mapinduzi ..............Unafiki hadi damuni, CCM maji yakiwakalia kooni mnapoteana kama vicheche.
Binafsi kama kuna mambo yaliyokuwa yananikera CCM ni lile la kutolea matamko kila jambo, yaani kuita Wanahabari kwa mambo ambayo hata hayastahili kwa Chama kikubwa kama CCM kujieleza, ilikuwa hata mtu akiandika jambo instagram au facebook basi kesho yake utasikia tamko ramsi la Chama, hili jambo lilikuwa linanikera sana kupita maelezo, sasa hili la Wema Sepetu na Mama yake CCM imekaa kimya kabisa na kuwaacha chadema wakisherehekea kujiunga kwa Wema na Mama yake!
Hakika ni kweli kwamba, CCM inapotoa mguu ndipo chadema inapokanyaga! CCM imejirudi na kuacha Siasa za kisanii sasa chadema ndiyo imeingia ulingoni full mambo ya kimbea na mipasho kama Wema mwenyewe!
HahahahaCCM ni chama cha Siasa hakiwezi kushindana na waharakati mwenye miaka 25 kwenye siasa.
Sidhani kama mtu aliyezaliwa 5 February 1977 anaweza bishana na kijana aliyezaliwa 28 May 1992 ambae mpaka leo bado amepanga chumba kinondoni uswahilini
Hili ni kwa sababu Wema na Mamaye si watu muhimu ndani ya chama. Hata wewe mwenyewe jiulize, Mama Wema anasaidia nini chama, hata kutoa ushauri hatoi Zaidi ya kurekodi watu na kuwauza mtandaoni ili ajipatie kickii. Uzee mwingine bwana ni issue. Mtu mzee unataka kuishi kama mtoto mdogo.
Mnachekesha asema nini wakati huku DAudi yuko hoi bin taaban? hana kumi waka moja tena mtafute huyo Daudi Bashite anaweza kukuambia hata hajaenda jando....
Chadema inahitaji kila mwenye ushawishi aje tuunganishe nguvu ya kuikomboa nchi yetu , ambayo taarifa za sasa zinaonyesha kwamba wananchi wengi wanashindia mlo mmoja tu .Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....
kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.
Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.
Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?
Nawasilisha.
Ndiyo nini?Kuna yule choko alivaaaga nguo za CCM na akaipigia CCM proudly kwahiyo hamuna shida..
Inasikitisha sana. Viongozi wa Chadema wanakimaliza Chama. Nani atawafanya wajue ukweli huu?Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....
kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.
Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.
Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?
Nawasilisha.
mmmmh.... chunguza teana hili. steve nyerere press na leo wasanii wenziwe press inadhihirisha kuweweseka kwa chama alichohama wema na mamayeBinafsi kama kuna mambo yaliyokuwa yananikera CCM ni lile la kutolea matamko kila jambo, yaani kuita Wanahabari kwa mambo ambayo hata hayastahili kwa Chama kikubwa kama CCM kujieleza, ilikuwa hata mtu akiandika jambo instagram au facebook basi kesho yake utasikia tamko ramsi la Chama, hili jambo lilikuwa linanikera sana kupita maelezo, sasa hili la Wema Sepetu na Mama yake CCM imekaa kimya kabisa na kuwaacha chadema wakisherehekea kujiunga kwa Wema na Mama yake!
Hakika ni kweli kwamba, CCM inapotoa mguu ndipo chadema inapokanyaga! CCM imejirudi na kuacha Siasa za kisanii sasa chadema ndiyo imeingia ulingoni full mambo ya kimbea na mipasho kama Wema mwenyewe!
Tena kubwa sana unathubutu kumsimama Bashite kilaza wa jiji
Naona anakunyima raha sana huyo Bashite kutokana na anavyokupelekesha na msako wa uuzaji unga.
.....
.....Lumumba hakukaliki Wema siwakisipotisipoti