Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Duuuuh, kweli siasa za Bongo NOMA
Sherehe kwa lipi sasa, maana toka ahamia sijasikia hata MTU mmoja alietangaza kumfuata sio humu Kwa GTs, sio Instagram, sio Facebook wala WhatsApp Groups. Kinyume chake ndio kwanza nimeona kwenye Facebook vijana wa CCM ndani ya jezi zao za nyasi wakiapa kwamba hawahami na CCM iko imara zaidi bila wema.
Huko nyuma niliamini Huwezi kuwa kijana ukashabikia CCM lakini tukio LA Wema limewaibua vijana wengi na nimejua kumbe hata CCM wapo.
Anyway, nirudi kwenye mada toka Wema na Mama yake waingie CDM, labda mwenzangu unajua ni watu wamemfuata kiasi cha kustahili kufanyiwa sherehe
POTENTIAL ya Wema kisiasa ni IPI
Hivi hatujajifunza kitu issue ya Lowassa, Sumaye, Kingunge na wenzao...!???
Ushauri wa bure kwa Wema;
Dada piga kazi CDM, yaani Uza sura hasa, Fanya harakati, ijiwezekana tukana sana mpaka ulale ndani kama Lema, kubwa zaidi usisahau mahusiano mema na Mfalme wetu ni kwa njia hiyo pekee ndio utaweza kupata viti Maalum. Hata kama hakuna MTU hata mmoja atakayekufuata
Wema hongera sana viti maalumu ni suala la muda tu kama utazingatia ushauri wangu
Naamini wakati unahama ulishaiona fursa hii
 
Wakati wa sherehe hiyo asikose dada yetu wasira. Tunampenda na tunamhitaji CHADEMA
 
wewe unataka kubadili maada ya vyeti vya mkuu weka vyeti kwanza ndio tuende kwa wema.
 
Afanyiwe sherehe na tawi la chadema sinza kwao sio kitaifa... Maana hawa hawaekewek wapinzani kweli au masilahi
 
Binafsi kama kuna mambo yaliyokuwa yananikera CCM ni lile la kutolea matamko kila jambo, yaani kuita Wanahabari kwa mambo ambayo hata hayastahili kwa Chama kikubwa kama CCM kujieleza, ilikuwa hata mtu akiandika jambo instagram au facebook basi kesho yake utasikia tamko ramsi la Chama, hili jambo lilikuwa linanikera sana kupita maelezo, sasa hili la Wema Sepetu na Mama yake CCM imekaa kimya kabisa na kuwaacha chadema wakisherehekea kujiunga kwa Wema na Mama yake!

Hakika ni kweli kwamba, CCM inapotoa mguu ndipo chadema inapokanyaga! CCM imejirudi na kuacha Siasa za kisanii sasa chadema ndiyo imeingia ulingoni full mambo ya kimbea na mipasho kama Wema mwenyewe!
 
CCM ni chama cha Siasa hakiwezi kushindana na waharakati mwenye miaka 25 kwenye siasa.
Sidhani kama mtu aliyezaliwa 5 February 1977 anaweza bishana na kijana aliyezaliwa 28 May 1992 ambae mpaka leo bado amepanga chumba kinondoni uswahilini
 
Lkn ccm hawana ugomvi nae hata ukimsikiliza yeye ugomvi wake na gavana ndio Kwa hasira akahama
 
We jamaa chai sana, unasema wameipotezea wakati kila kukicha i kufadhili press conference za kumponda Wema.

Ulikua pangoni kwenye Press ya Steve Nyerer wakati anatema shudu?

Vipi kuhusu hao wasanii wa bongo movie waliotoa press kumponda Wema na kukisafisha Chama?

U must be sick bro.


Hii ni tofauti, zamani ilikuwa CCM rasmi kabisa inaita vyombo vya habari na kueleza mambo ya kijinga kabisa kama haya ya Wema na Mama yake, hili jambo lilikuwa linanikera sana, kwani watu bure kabisa ambao hawakustahili walikuwa wanajadiliwa, ...
 
Mlianzisha thread zaidi ya mia humu ndani na confrence kibao mkajua atarudi nyuma!
mmeona hajali mnajifariji eti mmepotezea!
Kamuulize nape ndio anajua umuhimu wa huyo mtu
 
74c610e816f0e9005b7e33daaac1072d.jpg
kwahili walikaa kimya.
 
Mlianzisha thread zaidi ya mia humu ndani na confrence kibao mkajua atarudi nyuma!
mmeona hajali mnajifariji eti mmepotezea!
Kamuulize nape ndio anajua umuhimu wa huyo mtu


Sawa, lkn umesikia msemaji Mkuu wa CCM akisema chochote kuhusu huu ujinga? Na ndicho ninachomaanisha, zamani ilikuwa ni rasmi kabisa CCM inatoa tamko, lkn sasa hvi hata UVCCM tu kimya kabisa, hawana mpango na mambo ya kimbea na kinafiki!
 
Kwani ccm unawaskia wakiongelea chhochote wa sasa,wamefugwa domo ata wangekuwa na chakuongea lazma wakae kimyaaa
 
Binafsi kama kuna mambo yaliyokuwa yananikera CCM ni lile la kutolea matamko kila jambo, yaani kuita Wanahabari kwa mambo ambayo hata hayastahili kwa Chama kukubwa kama CCM kujieleza, sasa hili la Wema Sepetu na Mama yake CCM imekaa kimya kabisa na kuwaacha chadema wakisherehekea kujiunga kwa Wema na Mama yake!

Hakika ni kweli kwamba, CCM inapotoa mguu ndipo chadema inapokanyaga! CCM imejirudi na kuacha Siasa za kisanii sasa chadema ndiyo imeingia ulingoni full mambo ya kimbea na mipasho kama Wema mwenyewe!
Mbona hamkukaa kimya kwa mama Anna kilango
 
Chama Mama kitabaki kuwa chama Mama. Hakuna zaidi ya hapo.
 
leo batuli na wenzie wa bongo movie waliokuwa kwenye cabinet ya mama ongea na mwanao wameita press conference kumpinga wemaaa..........my point of view,hii press imewezeshwa na ccm wenyewe ilhal kupungua joto lnalofukuta ndani ya ccm......itimisho,ccm hawawezi kukaa kimyaaaa....[HASHTAG]#Daud[/HASHTAG] Bashite
 
Back
Top Bottom