Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Bashite mwenyewe yuko ICU acha na yeye aone machungu aliyokuwa anawapa wenzake kwenye kazi jinga la mwisho kilaza jitu linaanza kufeli standard four? wazazi wana moyo kwa kweli alitakiwa mara moja apewe ng'ombe achunge sio kuja kulisababishia Taifa hasara


Unajichanganya hapa mkuu...anayetia taifa hasara ni muuza unga na mtumiaji kama wewe kwani afya yako inapozorota inabidi serikali ikutibie na kukupeleka sober house. Mshukuru Bashite/Makonda kwa kusafisha jiji lako...tulimuhitaji bahati mbaya alichelewa kuja.
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.


Nashauri mtambue kuna watu wenye dhiki, wangenufaika na hiyo fedha, kama mnawapenda watanzania hiyo fedha kachimbieni visima watu wapate maji kwenye maeneo yasiyo na maji mtaonekana mmefanya jambo la maana sana
 
Mbowe anajitafunia tuu vitumbua kutoka singida
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Mbowe anawachukuliaje chadema jamani?
 
Back
Top Bottom