Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Wema Sepetu kufanyiwa sherehe CHADEMA

Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
wewe kinakuuma nini...
 
Naomba nilizungumzie hili Kiuchambuzi kidogo sana ni kwamba siyo jambo baya kwa CHADEMA kumkaribisha Chamani Wema Sepetu kwani ni haki ya kila Mtanzania kufanya maamuzi yake hasa ya Kisiasa bila hofu, uwoga au mashaka yoyote yale.

Kwa ushawishi alionao Wema Sepetu siyo kwamba anaweza kuwapelekea CHADEMA Wanachama wengi ila Wema Sepetu akitumika Kimkakati zaidi anaweza kukijenga Chama cha CHADEMA na kikapata Wanachama wengi zaidi siku za mbeleni kuliko kuwategemea hawa Wafuasi wachache ambao tunaambiwa wanahama nae kwani yawezekana hata kati ya hao Wafuasi 500 wa Wema Sepetu anaohama nao kwenda CHADEMA 350 waka ni Nyoka ambao huko mbeleni wanaweza kuwadhuru kwa Sumu kali na kupelekea dhahama ndani ya Chama. RAI yangu kwa CHADEMA ni kwamba wamtumie zaidi Wema Sepetu Kimkakati huku wakilenga sana mwaka 2020 na waachane na hizi shamrashamra za sasa ambazo kimsingi sioni kama zina tija sana hasa kwa Watu wanaojua mno maana ya Siasa na mikiki mikiki yake.

ANGALIZO

Ni kweli CHADEMA wamelamba dume ila niwaombe tu Viongozi wa juu wa Chama hicho kuwa wasifanye Kosa kubwa la kuanza sasa kumkumbatia na kumpa coverage Wema Sepetu katika Media na Social Platforms zingine kwani nina uhakika kwa tabia zetu sisi Waafrika na hasa hasa hawa Dada na Mama zetu za kuwa na Wivu / Husuda inaweza ikajenga tabaka au chuki fulani dhidi ya Wema Sepetu ambayo ikapelekea sasa Watu ndani ya CHADEMA kuanza kuhujumiana ili tu kumkomoa Wema na Chama chenyewe na kupelekea Chama kuwa na Mgogoro na kuwa ndiyo anguko lake.

Wema Sepetu awe treated kama wengine aliowakuta ndani ya Chama ili kuweza kuleta Umoja na Mshikamano kwa manufaa chanya na asifanywe kama Malaika kwani nina amini kuwa humo humo CHADEMA kuna Watu very strategic tena hata kumshinda Wema Sepetu ila yawezekana hawaaminiwi au hawajapewa nafasi.

Niwatakieni tu kila la kheri wana CHADEMA japo Mimi ni wa upande wa Pili nikimaanisha kuwa ni Mwana CCM kindakindaki ila kwa manufaa ya nchi napenda mno uwepo wa Vyama vya Upinzani imara ili viweze kuiamsha CCM na Serikali yake ili kwa pamoja tuwe na Tanzania yetu yenye Maendeleo na Ustawi mzuri.
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.
Ahaaa.... CHADEMA... kwa hlo mnalotaka kulifanya chedema.. basi kupata u rais kwenu ni sawa na kuuza nguruwe kwenye nchi ya saudi arabia
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.

CDM hawatakaa wajifunze hata suku moja.

Hii sarakasi itaisha kama ile ya Wolper. Kabla ya uchaguzi 2020 atakuwa amerudi CCM kwa mbwembwe nyingi na matusi juu.
 
Huyu kapotea njia mapema sana
Alishindwa kumuondoa zali kwa diamond sembuse ccm kuondoa madarakani ,
 
Kama kweli anawatu 500 tutaomba sana tupewe wasifu wao, maana kwenye ile sauti ilisikika kuna mashoga waliokuwa wanakaa kwake
 
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....

kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na mlimbwende (miss Tanzania 2006) bi Wema Sepetu.

Inadaiwa kuwa mlimbwende huyo anatarajia kuvuta wafuasi wake zaidi ya mia tano CDM.

Umuhimu wa sherehe hiyo ni nini katika harakati za kujenga chama na kuhakikisha ustawi bora wa Jamii ya watanzania?

Nawasilisha.

Yanakuhusu ni sasa??
 
Hiyo ni moja wapo ya ujenzi wa chama kwa kupata wanacha 500 kwa wakati mmoja ni moja wapo ya kukijenga na kuimarisha chama.

Na kumbuka kwa wakati huu nafasi ni finyu sana katika ujenzi wa chama kutokana na mazingira ya chama yalivyo kwa sasa kwa kuwa mikutano imepigwa marufuku,viongozi wa chama kufungwa ovyoo bila ya sababu za msingi,kuingiliwa na jeshi la polisi katika mikutano ya chama ata baadhi mingine ni zile za ndani na taasisi za chama pia.

Nataka kukumbusha kuwa ujenzi na kuimarisha chama ni wanachama. Nikimaanishi ni mkakati moja wapo katika kuongeza wanachama wengi zaidi.

Hapo kuna mapato chama kinapata pia katika ada za uanachama kupitia hao wanachama wapya.

Ninaamini cdm wapo kimkakati hawajawahi kukurupuka kila kitu wanafanya kwa uangalifu zaidi kwa maslahi ya chama.
 
Back
Top Bottom