Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

Nilikuwa nafikiri watu wanadanganya kuhusu JF ila sasa nimeamini JF imejaa wahuni wengi sana.
Hivi una hata chembe ya ufahamu hapa upo jukwaa gani na ni watu gani wapenzi wa jukwaa hili? nadhani bado mpaka leo hujajitambuwa ni kwa nini ulijiunga JF, yaani kwa kifupi upo upo tu.
 
Jamani huyu binti anasema watu wengi walikuwa wamemzunguka na joto la dar alijihisi kukosa nguvu kitu kilichopelekea kupoteza fahamu
 
Jamani amejieleza ITV, aliishiwa pumzi sbb ya watu wengi. So it was real jamani, dada wa watu alizimia.
 
nakuhurumia sana ingekuwa ww ndio uko lupango saa hii,jamani sio sehemu zotE ni za kufanya maigizo hii ishu wote imetumbamba.INALAH WAINAILAH RAAJUHN
 
Jamani amejieleza ITV, aliishiwa pumzi sbb ya watu wengi. So it was real jamani, dada wa watu alizimia.

,,,,,,,,,aaah wapi,Bi DADA kazimia lakini simu yake ya Blackberry kaikamatia mkononi,kwani mtajuaje na ye kama alikuwepo kwenye tukio???
 
,,,,,,,,,aaah wapi,Bi DADA kazimia lakini simu yake ya Blackberry kaikamatia mkononi,kwani mtajuaje na ye kama alikuwepo kwenye tukio???

Harrooo Detective- hiyo report yako imezidi chumvi,hembu tia sukari guru kidogo!!!
 
angeangukia kisogo ndo angelijua jiji....kudadeki "brain concossion ni noma!"
 
kifo ni kitu mbaya sana,
acheni watu walie kwa kuwa hawatamwona tena Kanumba
katika mwili ule wake wa zamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom