Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

jamani hata misibani hawa celebrity wanawadhulumu maiti kwa kutaka attention za watu !!
 
Madaktari ebu tusaidieni kwa siku mtu hunaweza kuzimia mara 3? Wema bana.
 
Wema ni drama queen haswaa........ exactly she will do anytin for the seek of camera dah!
 
Huyu ndo yule aliyezimia huku kang'ang'ania BlackBerry yake mkononi ama? Wa'Tanzania bwana kwa unafiki hatujambo!
 
Alistahili kuzimia katolewa mbali sana na kanumba kiugizaji. anyway wote wenye -ve attitude towards her wanasahau kuwa watu kama wema lazima wawepo ili maisha yawe na furaha na vituko. vnginevyo wote tukiwa serious hayatakuwa maisha. binafsi nampenda sana wema. natamani ajue kuwa nampenda.
 
Back
Top Bottom