Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

Unaweza ukasema wamefanya jambo gani wewe unalolifahamu kwa uhakika mpaka ukawaita makahaba?

Funguo za gari au za kabati tatizo ni la kwako wewe kufikiri kwamba hizo funguo walikuwa wameshika ili kukuonesha wewe..
Mimi siwezi kubishana na mtu ambaye anaishi Karagwe lakini anataka kuongelea mambo ya Dar si salama, kama ulikuwa hujui hawa mabinti ni Makahaba kuliko hata wale makahaba rasmi wanaouza uroda pale Jolies club.
Na kama hujui funguo matumizi yake hapa mjini ni heri ukae kimya tu nadhani huna uelewa wowote kuhusu wazee wa Firmee!!.....
 
labda kapanga akifika ajiangushe makamera yamdake

na yamendaka kama kawa
 
Mimi siwezi kubishana na mtu ambaye anaishi Karagwe lakini anataka kuongelea mambo ya Dar si salama, kama ulikuwa hujui hawa mabinti ni Makahaba kuliko hata wale makahaba rasmi wanaouza uroda pale Jolies club.
Na kama hujui funguo matumizi yake hapa mjini ni heri ukae kimya tu nadhani huna uelewa
wowote kuhusu wazee wa Firmee!!.....

Ha ha du eti Karagwe nimecheka sana,ila ningependa kufika pia coz napasikiaga,ni vizuri kujikita tu kwenye mada kuliko kujaribu kuonesha
unamuelewa unayesema naye...

Kurudi kwenye mada,
Ukweli ni kwamba huna uhakika na ukahaba wa unaowataja zaidi ya habari za kusikia labda na magazeti ya udaku ambao hutumia sura zao ili waishi na walipe bili...
 
wabongo makatili, yaani mnawezaje kuongea maneno kama hayo!? halafu nyienyie tukiwakuta misibani mnajidai na huzuni kumbe moyoni mnayo haya mliyosema hapa! mtu ameenda msibani kuhesabu walioanguka, huo wote wivu na fitna hamna kingine! loooh!!
 
Sir/Madam Big Up to you.
 
Ha ha du eti Karagwe nimecheka sana,ila ningependa kufika pia coz napasikiaga.

Ukweli ni kwamba huna uhakika na ukahaba wa unaowataja zaidi ya habari za kusikia labda na magazeti ya udaku ambao hutumia sura zao ili waishi na walipe bili...
Hivi wewe Dada ni wa wapi? watu tupo nao humu Kinondoni na Sinza kila siku mabar tunayokunywa ni yale yale sasa mimi nitegemee source ya magazeti ya udaku wakati ni watu nakaa nao meza moja? wewe ni wa wapi lakini!!??
Usidanganywe na mapicha ya RED carpet kwenye event maalum ukadhani ndiyo maisha yao, umepotoka tupo nao sana medium area za mitoko.
 
Kwa hiyo Wema Sepetu na Irine Uwoya ukikaa nao meza moja mkinywa ndio
unapowaona wakifanya huo ukahaba..ha ha

na huko ndio ulipoona wakipanga mashindano ya kwenda kuzimia leo kwenye msiba..
 
me natamani huyu binti apate fundisho kama alilopata huyo aliyekua selo! anaboa sana. & i wish media wangempotezea ili tumsahau, kwani hakuna ya kuandika than wema sepetu?
 
Kwa hiyo Wema Sepetu na Irine Uwoya ukikaa nao meza moja mkinywa ndio
unapowaona wakifanya huo ukahaba..ha ha

na huko ndio ulipoona wakipanga mashindano ya kwenda kuzimia leo kwenye msiba..
Is Better to ignore you...... kwa kijana yeyote ambaye yuko active hapa mjini matendo ya hawa Mabongo movie wala siyo ya kuuliza, nashangaa hapa sijui hasa nia yako ni kulinda nini? i insist hawa ni Makahaba kuliko hata wale wanaofanya biashara ya ukahaba rasmi. kama uelewi tafsiri yake kwaheri.
 
Sipati picha marehemu alikuwa anawapa nini hawa watoto wa kike hadi wazimiezimie hovyo.Hongera yao lakini watakuwa wanajua utamu wamarehemu kwenye kazi zake.Kanumba The great mungu akulaze unapostahili amen.
 
Hana jipya huyu zaidi ya kutafuta umaarufu wa bei nafuu. Anazimia nini iwapo aliyekufa alikuwa mbwa kwa msingi wa maneno yake aliyowahi kutoa kuwa wanaume ni mbwa akiwamo hata baba yake na babu yake?
 
Is Better to ignore you...... kwa kijana yeyote ambaye yuko active hapa mjini matendo ya hawa Mabongo movie wala siyo ya kuuliza, nashangaa hapa sijui hasa nia yako ni kulinda nini? i insist hawa ni Makahaba kuliko hata wale wanaofanya biashara ya ukahaba rasmi. kama uelewi tafsiri yake kwaheri.

Yale yale.
 
Waliwahi kuwa na mahusiano, hivyo amekumbuka mengi waliyofanya pamoja na milele hatamuona tena. zaidi ya cameras attention kuna uchungu wa kuondokewa na X wake.
 
People in here are so mean to Wema. She is also a human being remember.
 
Sidhani kama kuna aja ya jumsema yote hayo kwani kama anaigiza asiigize yote ni sawa ilopo kaguswa na msiba kashindwa kuvumilia basi hakuna aja ya kuleta malumbano yasiyokuwa na msingi
 
Nilikuwa nafikiri watu wanadanganya kuhusu JF ila sasa nimeamini JF imejaa wahuni wengi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom